NAKUPENDA, USINIEKE FRIENDZONE

NAKUPENDA, USINIEKE FRIENDZONE

Kuna demu ananishobokea sana, ila kila nikimgusia maswala ya mapenzi anabadilika kama chui..

Yani tukikaa week hatujaonana, basi siku akiniona anachangamka anani-hug na mabusu mengi mengi ... Yani hapa ndio nina data kabisa.. Tatizo ni moja tuu "hataki maswala ya mapenzi"

Kila siku kuniletea vizawadi na kunishukuru et hajawai kutana na rafiki wa kweli kama mimi.

Ni mwaka wa pili sasa naingiza gia lakini haingii kwenye line, mbaya zaidi kuna siku kanitongozeshea rafiki yake makusudi kabisa.. Anasema hapendi kuniona mpweke.... ila mimi simtaki rafiki yake namtaka yeye

Kiukweli naona ni bora kukatisha urafiki kabisa ili nisimuone ....
Acha usiguse+
 
My friend wangu unayasemaje haya??
nisome comments za chini. Hata hivyo kunapokuwa na urafiki wa mwanaume na mwanamke mipaka muhimu....sasa watu wa jinsia tofauti mnajifungia chumbani wawili hapo lazima atatokea mmoja wa kuwaza mengine hata kama hamkuwa na mawazo hayo kabla. Eti mkikutana mnakumbatiana na mabusu motomoto hapana aisee huko ni kumuita shetani kwa nguvu zote.
 
Kwa kweli
 
Dah, hebu tafuta dem mwingine mpe ukweliwote ila mwambie unataka kumwonyeshea ss mtoe dem wako na yy mwalike mkifika huko mwache akibusu ila mwambie huyu ni mpenzi wangu na nonampenda sana. Hala ona akoja tena italuwaje
 
Kuna demu ananishobokea sana, ila kila nikimgusia maswala ya mapenzi anabadilika kama chui..

Yani tukikaa week hatujaonana, basi siku akiniona anachangamka anani-hug na mabusu mengi mengi ... Yani hapa ndio nina data kabisa.. Tatizo ni moja tuu "hataki maswala ya mapenzi"

Kila siku kuniletea vizawadi na kunishukuru et hajawai kutana na rafiki wa kweli kama mimi.

Ni mwaka wa pili sasa naingiza gia lakini haingii kwenye line, mbaya zaidi kuna siku kanitongozeshea rafiki yake makusudi kabisa.. Anasema hapendi kuniona mpweke.... ila mimi simtaki rafiki yake namtaka yeye

Kiukweli naona ni bora kukatisha urafiki kabisa ili nisimuone ....
jkt mnariport kuanzia tarehe ngapi?
 
Back
Top Bottom