NAKUPENDA, USINIEKE FRIENDZONE

NAKUPENDA, USINIEKE FRIENDZONE

Mpaka anakulengeshea kwa rafiki yake kashaona wewe ni joka la kibisa mkubwa ebu jiongeze bhana
Kuna demu ananishobokea sana, ila kila nikimgusia maswala ya mapenzi anabadilika kama chui..

Yani tukikaa week hatujaonana, basi siku akiniona anachangamka anani-hug na mabusu mengi mengi ... Yani hapa ndio nina data kabisa.. Tatizo ni moja tuu "hataki maswala ya mapenzi"

Kila siku kuniletea vizawadi na kunishukuru et hajawai kutana na rafiki wa kweli kama mimi.

Ni mwaka wa pili sasa naingiza gia lakini haingii kwenye line, mbaya zaidi kuna siku kanitongozeshea rafiki yake makusudi kabisa.. Anasema hapendi kuniona mpweke.... ila mimi simtaki rafiki yake namtaka yeye

Kiukweli naona ni bora kukatisha urafiki kabisa ili nisimuone ....
 
Wanawake acheni kujifanya hamnazo, ingekuwa ww ungeweza vumilia kuendeleza urafiki tu na mwanaume unaempenda, ilhali huyo mwanaume hakupendi..

Sana sana wengi wenu mkionesha ishara za kupenda hlf mkihisi kukataliwa kimapenzi na mwanaume, mnaanza kumchukia huyo mwanaume Baby Doll
Nahisi wewe ni kati ya mabinti wakweli katika uzi huu.
Binafsi nimependezwa na mtazamo wako
Cute Cindy
 
Labda urafiki wa salami lakini urafiki wa karibu kati ya jinsi tofauti haunaga mwisho mwema.
Binafsi nina huu mtihani period,nina rafiki wa kike(best friend) tulisoma wote Primary&O level na hatukuwa na zaidi ya urafiki,tulivyomaliza tukapotezana.
Hata tumeonana 2017 maisha yamekuwa tofauti sana.tumekuwa zaidi ya tulivyokuwa kipindi kile hali ya kuwa kila mtu ana mtu wake na yeye anaolewa miezi michache ijayo na hayupo tayari kupoteza chochote.
Tumefanya attempts kadhaa ila kuachana imekuwa ngumu sana.naamini mwishoni tutafanikiwa Mungu akipenda.Back to the topic,siamini sana urafiki wa karibu wa mwanamke na mwanaume zaidi ya salamu.
 
Mimi mwenyewe nina rafiki wahivyo ila wametofautiana kidogo yeye hana hela yakuninunulia zawadi
 
Back
Top Bottom