Baby Doll
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 4,880
- 22,052
Hawa viumbe ni wa ajabu.Uwezekano haupo my friend
Nina mtu alikuwa rafiki yangu tuu, ghafla akanitongoza nikakataa.
Basi kaninunia hamna hata salamu




.Sijui wana shida gani kazi kuwaza ngono tuu.
