raia_mwema
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 479
- 314
Ewe ua langu la waridi lenye fumbo,ewe dada uliye ngao yangu na kitulizo changu.Funua macho yako uisome nakala hii fupi ya mapenzi,nakuwaza kila cku mxhana na usiku.Usingizi sipati kwa ajili yako.NAKUPENDA SANA.....................
shemeji kwani siku hizi mgombani network inafanya kazi!?Keleuuuwiii brother.... unakaribia kuibiwa sasa hivi....tena shemeji yako Kaunga ndo anaunga mipango yote....
nahofia Kaunga atakapokuwa anaimba huo wimbo atakuwa anakuminyia jicho!
shemeji kwani siku hizi mgombani network inafanya kazi!?
mi nilikuwa tu nataka nipime pressure yenu jamani!kuwa ikitokea kimfano ,yani kimfano tuu!shemeji!dah!
Hahaaa...network ipo hadi kule bondeni kabisa kwenye magimbi mekundu yanayoitwa mafido na nduu....akirudi muulize vizuri...halafu hiyo mfano , mfano, mfano mara inakuwa kweli...unaukumbuka mchezo wa baba na mama wewe? mnajificha mnajificha mwisho mnajificha kweli hadi wenzenu watakapofanikiwa kuwakuta kijasho tayari kinawatoka...LOL...Halafu watu wenyewe unaowatania ni wanyamwezi? LoL...hawana utani kwenye hizo angle shemeji yangu
Hahaaa...network ipo hadi kule bondeni kabisa kwenye magimbi mekundu yanayoitwa mafido na nduu....akirudi muulize vizuri...halafu hiyo mfano , mfano, mfano mara inakuwa kweli...unaukumbuka mchezo wa baba na mama wewe? mnajificha mnajificha mwisho mnajificha kweli hadi wenzenu watakapofanikiwa kuwakuta kijasho tayari kinawatoka...LOL...Halafu watu wenyewe unaowatania ni wanyamwezi? LoL...hawana utani kwenye hizo angle shemeji yangu
Ewe ua langu la waridi lenye fumbo,ewe dada uliye ngao yangu na kitulizo changu.Funua macho yako uisome nakala hii fupi ya mapenzi,nakuwaza kila cku mxhana na usiku.Usingizi sipati kwa ajili yako.NAKUPENDA SANA.....................
Wachaga hawana maana bana. Una bahati tu hatutaniani na nyie. Ningelikuwa Mpare, ningelikufuka na Perege wangu kati ya miguu niliyemuiba pale Ugweno. Utakaa unafikiri PESA usiku na mchana na Binti hapati huduma yake. Mkali kweli kweli kwenye pesa zake lohh!!!, Mchaga. Ndiyo maana Wanyamwezi na Wasukuma wengi sana wanaolea Uchagani kwa sababu Ngosha wanaweza kazi.
snowhite, utakamua hao Ng'umba ya Maleli hadi usiku uwe unaota Chuchu za ng'ombe.
Ukija kwenye Miziki, watakuchezesha Reggae na upuuzi kibao. Nyimbo za harusi zenyewe hawana, kila harusi wimbo ule ule "Ehhh Ulele, ulele ulele kwaacha....." Hovyo kabisa. Wanyamwezi bana, wanaimba hadi unafurahi....
"Fumaga Mnyumba wakuone ivyo wavela Nya-Kaunga..." Ni wimbo utaimbiwa ukishazaa katoto ka kike ka-Kaunga jr.
Imbeni sana tu mtaishia kuimba....
Umeshafika Vijijini kwetu wewe?
Unaweza kukompare?
Umeona migorofa inavyoegemewa na migomba wewe?
Unaimba mchana kutwa huku unalala kwenye nyasi kama ng'ombe?
Wewe Sikonge nina uhakika nyumba wanayolalia ng'ombe wetu
ni bora kuliko uliyokulia kule sikonge..unabisha niweke picha?
Shemeji snowhite mwaya achana na huyu Kyasaka atakwenda
kukushindisha njaa hawana lolote hawa nyimbo tu basi wakati
hata kule mfaranyaki, Lithuli, Mabada, Mahanje nknk...kila anayezaliwa
ni mwanamuziki.
Kwani nabisha? Umeme wenyewe natumia SOLAR ndiyo maana usiku ninapotea hapa Online au kama nimecharge Tablet.
Nyumba yetu tunachangia na ng'ombe kwa sababu Wezi wanaiba sana ng'ombe wetu, hapa sasa haibi mtu kama zizini.
Mmeendelea sana na tena sana wala sibishi. Ila kama nilivyosema, zaidi ya PESA na hayo Materials, hamna kitu nyinyi. Ni masikini wa kutupwa kama alivyo BIRD, baba yake wa kufikia Lil Wayne ambaye hata rafiki hana. Yeye kutwa nzima ni kujisifu alivyo na pesa wakati akina Jay-Z wanamwacha mbali sana.
Wee endelea kukusanya tu fedha zako, ntasubiri mwanao akuwe, niwe Sugar Daddy na katakuwa kananitunza Kibabu mie kwa hela zako wewe usiyelala na kunibeba kwenye BMW yake uliyokanunulia, raha ikoje. Kama nikimkosa huyo basi walau Sister wako maana MTOTO wa geti kubwa, ana pesa zake bwana. Mie mnyamwezi ngoja wanishughulikie tu na kazi yangu mie inakuwa ni KAZI na RAHA.
Mnakuja kukurupuka kuanza maisha ya kweli ya ndoa umeshazeeka, wakati wenzio tumefanya maisha yetu yote.
Kwahiyo watamani haya maisha ya kutoka na vitukuu sio?
Hizi ni frustrations tu brother wala usiziombe....
Hebu niazime Kaunga halafu nikuthibitishie kuwa
wachagga siku hizi tumechangamka kote kote
..............Wafuma mwikuru wangaluka mwana wa ntemi,aluyu vava watola mwana wa ntemi...........Haka kawimbo babu RIP alikuwa anaimba wakati huo anaangalia eneo la shamba alilolima siku hiyo kama ekari moja kwa siku,huku kando ya shamba ng'ombe wake kama 70 wanachunga.Hiyo ndio ilikuwa jeuri ya wazee wa kinyamwezi.Mdugu wane Sikonge muwile msula uyoHakuna Frustration Mkuu wangu, unataka kusema Mengi ni Frustration? Hakuna kitu, ni MARAHA tu ya dunia.
Kaunga dada yangu hana mikwara kabisa, ila ndiyo ana boss wake hapo na Boss akisikia, atauwa mtu.
Na sidhani kama itakuwa busara kutaka kucheza uwanja mmoja na NGOSHA hasa akishapata ugali wake wa Mlenda, utataka tu kuaibika bure. Wee katafute Wanawake wadogo kama Wahehe hivi au Wapare wenu watakufaa sana. Ukipata mtoto wa Kinyamwezi aliyepitia Unyago, utajua kwa nini huwa wanaimba "Unyago ni mzuri nje, ila ndani huwa kuna kazi."
ah!shemeji huyu Kaunga akionja hatakubali kuachia bana!Kwahiyo watamani haya maisha ya kutoka na vitukuu sio?
Hizi ni frustrations tu brother wala usiziombe....
Hebu niazime Kaunga halafu nikuthibitishie kuwa
wachagga siku hizi tumechangamka kote kote
Mtani snowhite mwambie huyo shemeji yako apime sehemu nyingine sio hapo kwa mnyamwezi,maana dada Kaunga huo mzigo aliofungasha na hawa wachaga wa mjini asije akaomba mcheso wa kiislamu kweli babangu,lol.Sikonge mwambie huyu mtani amuonye shemeji yakeah!shemeji huyu Kaunga akionja hatakubali kuachia bana!
af ataanza kupika mwenywe kabisa!
ni heri uchague mwingine wa kuonja bana!
sio huyu bibie,manake na ye kafungasha kama katoka kwenye nanii vile ah mi nakasirikaga mimi!
ah!shemeji huyu Kaunga akionja hatakubali kuachia bana!
af ataanza kupika mwenywe kabisa!
ni heri uchague mwingine wa kuonja bana!
sio huyu bibie,manake na ye kafungasha kama katoka kwenye nanii vile ah mi nakasirikaga mimi!
Aah bwana nyie mnafaa kwa matumizi ya shopping malls tu, ya chumbani ni kaka zangu bwana. Usijali naweza kukufanya kidumu, maana mimi na The Boss tuna very special and state of the art arrangement. LolKwahiyo watamani haya maisha ya kutoka na vitukuu sio?
Hizi ni frustrations tu brother wala usiziombe....
Hebu niazime Kaunga halafu nikuthibitishie kuwa
wachagga siku hizi tumechangamka kote kote