ok wewe nionjee utanipa feedback mi nataka wa mwisho..si unajua wa mwisho unyamwezini ni wa kwanza uchagani? so atanifaa pia
sasa ile threesome naanzaje kuisahau!si ndo mana na mi nawaganda kaka zako!Umeona eeh, yaani ni ngumu sana kuwaresist kwakweli.
Tuongee chemba basi tupange jinsi ya kukuonjesha mmoja baada ya mwingine; ile threesome na The Boss unaikumbuka? Ile ilikuwa cha mtoto ngoma iko kwa hao wengine.....
"ngoja nisimwage kuku kwenye mtama wengi" LOL
Achana na wachaga hao, waache wakasake mbesa ujirushe kwa kaka zangu kwa muda!
tatizo ni dadako!
ndo ananibania mpka penalti yani!
mi najua nyie wenywe mnanizimikia sana tatizo dadaenu Kaunga nae anawazimika
sasa hapo ndo unasikia nshaanza kuchimbwa mkwara wa kupinguliwa urafiki
na mimi yeye asipokuwa rafiki yangu nyie siwapati!
sasa nafanyaje mwenzio!aaaargh!
ok wewe nionjee utanipa feedback mi nataka wa mwisho..si unajua wa mwisho unyamwezini ni wa kwanza uchagani? so atanifaa pia
ahahahahahha manake ni leo sio?Naipenda sana sana siku uliyonipangia, nina sababu ya msingi, yaani Alhamisi mmmh senkyuu umepatia
bora!subiri, nimeskia juzi anasema atasafiri, why dont we use hio chance ku-prove even in her absence bado mambo yanaweza-move tu, ila usiseme kwa sauti anaweza kuahirisha safari
ahahahahahha manake ni leo sio?
duh!watu mna bahati za kuzaliwa!cha
Aaahh si nimekwambia usiseme kwa sauti?
bora!
kwani anaondoka nayo?
ahaaa duuh hadi dkk ya tisini smile mimi nimetoka bila bila ngoja KIKUNGU nae amwage sera zake nione kama nitasalimika au nirudi zangu uchagani....Smile, unajua huyo SHOGA ni Mudhungu na zaidi ya Ushamba wangu wa Kinyamwezi wa kupenda Ngozi nyeupeee, pia nataka kusafisha ngozi bana. Si unaona Barack Obama akikaa na Wajaluo wenzake anavyokuwa Mudhungu?
Huyo Shoga yeye ni INCUBATOR tu, na akishatungwa Mimba basi anaenda zake Ulaya kujizalia bila mikwaruzo.
Mie mtu Simple sana ila tu Masharti yake ni: Sehemu ya kukalia lazima iwepo nzuri tu na kimtindi na mwisho kama nyongeza basi Kangozi kawe kaupe keupe kidogo, ila mkorogo? NO WAY!!!!
hapa sasa ndo tutakapochuana na my wee!tatizo na dadako nae kajazia af anakuzimia!Smile, unajua huyo SHOGA ni Mudhungu na zaidi ya Ushamba wangu wa Kinyamwezi wa kupenda Ngozi nyeupeee, pia nataka kusafisha ngozi bana. Si unaona Barack Obama akikaa na Wajaluo wenzake anavyokuwa Mudhungu?
Huyo Shoga yeye ni INCUBATOR tu, na akishatungwa Mimba basi anaenda zake Ulaya kujizalia bila mikwaruzo.
Mie mtu Simple sana ila tu Masharti yake ni: Sehemu ya kukalia lazima iwepo nzuri tu na kimtindi na mwisho kama nyongeza basi Kangozi kawe kaupe keupe kidogo, ila mkorogo? NO WAY!!!!
Umeona eeh, yaani ni ngumu sana kuwaresist kwakweli.
Tuongee chemba basi tupange jinsi ya kukuonjesha mmoja baada ya mwingine; ile threesome na The Boss unaikumbuka? Ile ilikuwa cha mtoto ngoma iko kwa hao wengine.....
"ngoja nisimwage kuku kwenye mtama wengi" LOL
Achana na wachaga hao, waache wakasake mbesa ujirushe kwa kaka zangu kwa muda!
af mi unafikir kile kilemba chake naamini kina nywele peke yake!BIG NO!Tatizo anaweza akaweka tego, hasa tego la kobe ndio baya zaidi...hahahaaaaaaaa
ahaaa duuh hadi dkk ya tisini smile mimi nimetoka bila bila ngoja KIKUNGU nae amwage sera zake nione kama nitasalimika au nirudi zangu uchagani....
ahahaaaa sio uchaga tu hata back bench nipo nipo na kwenye mewata pia ...kwani back unataka size gani...tunegotiate tu taratibu naweza kufika no...maana mkorogo mimi situmii mi napaka asali yenu na mafuta ya ubuyu na nazi ....sina weupe ule wa kiarabu ila nina chocolate colour ....Usihofu, kadi ya Uchaga inaweza kukuokowa maana mie na Wachaga, ehh bana weee!!!!! Ukiweza tu kupika LAMI (Nswalu) basi unajizolea point kibao. Ila USHAGANI siishi kabisa, mambo ni MWANZA au DODOMA.
ahahaaaa sio uchaga tu hata back bench nipo nipo na kwenye mewata pia ...kwani back unataka size gani...tunegotiate tu taratibu naweza kufika no...maana mkorogo mimi situmii mi napaka asali yenu na mafuta ya ubuyu na nazi ....sina weupe ule wa kiarabu ila nina chocolate colour ....
achana na Kaunga maana hata yeye anakutaka sana...kaenda hadi nigeria kwa tb joshua kwa ajili yako.
Kaunga unaumiza roho yangu!
sasa la msingi ni kukuendea msambiazi!
manake kaka zako inaelekea wanakusikiliza sana!
kwa kweli niruhusu basi niwaonjepo basi mmoja mmoja !
yani nifanye ana ana ana do kwa vitendo!
atakayebaki ndo umpe Smile
we wifi hebu kaa kushoto kwanza nataka nilete zali la kinyamwezi uchagani!
usimwambie Nicas Mtei lakini au Mkirua wanaweza wakanifanya kisusio!