Nakupenda sana najutia kukupenda aplonia joachim (muiraq)

tukushauri nini na mwenzako keshakwambia hakutaki tena,acha kuidhulumu nafsi yako,jipange uanze upya kama unamsaidia msaidie kwa wema wako!
 
Ukome unatishia tishia kumuacha kumbe ubavu wenyewe huna
utani gani huo wa kuachana, af three times zote unatania
kudadadeki umelambishwa joker mwisho wa mchezo poleeeee
 
Wairaq ni noma. Afu ujue ni maharagwe ya mbeya tia maji mara moja
 
ulikosa vitu vya kutania au...natamani kukutusi,huo ni utoto..una umri gani kwani
 

dah! Nakumbuka kauli ya kikamanda isemayo..... Uwezo wa kamanda haupimwi kwa ubao na mbingu haiwekwi vilaka........ Ulikuwa unatania kumbe mwenzako ameona unafanya jaribio la kombora la masafa marefu akaamua kuliblock kabla halijaleta madhara kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…