Nakupenda sana najutia kukupenda aplonia joachim (muiraq)

tukushauri nini na mwenzako keshakwambia hakutaki tena,acha kuidhulumu nafsi yako,jipange uanze upya kama unamsaidia msaidie kwa wema wako!
 
Ukome unatishia tishia kumuacha kumbe ubavu wenyewe huna
utani gani huo wa kuachana, af three times zote unatania
kudadadeki umelambishwa joker mwisho wa mchezo poleeeee
 
Wairaq ni noma. Afu ujue ni maharagwe ya mbeya tia maji mara moja
 
ulikosa vitu vya kutania au...natamani kukutusi,huo ni utoto..una umri gani kwani
 
Wadau humu ndani naomba ushauri wenu.Nilkuwa na mpenzi wangu mmoja ninampenda sana.Me huwa napendaga utani nikamtania tuachane almost three times atlast inikiwa namtania ameniambia hawezi kurudiana na mimi tena wakati bado nampenda sana mara aniambie anamwingine,sina moyo wakupenda tena,hata nikipenda hapendi toka moyoni na hataweza kunipenda tena mimi, Katika mahusiano yetu tuliwekeana maahadi ya kumtafutia chuo nimemtafutia na nimepata sasa ananiuliza namhangaikia kwa ajili gani? ??????????ananipa masharti nikimsaidia nijue kwamba hatuwez kurudiana tena NAOMBENI USHAURINI WENU NIFANYAJE, BADO NAMPENDA NASIWEZI KUMSAHAU

dah! Nakumbuka kauli ya kikamanda isemayo..... Uwezo wa kamanda haupimwi kwa ubao na mbingu haiwekwi vilaka........ Ulikuwa unatania kumbe mwenzako ameona unafanya jaribio la kombora la masafa marefu akaamua kuliblock kabla halijaleta madhara kwake
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom