comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,489
- 11,597
Wakati naweka bandiko kule love connect kua natafuta mwanamke Mzuri, kuna watu walidhani ni masihara, lakini nashukuru mungu nimempata niliemtaka.
Sikudhani kama JF kuna wadada wazuri kiasi hichi, nashukuru umenielewa na umekubali kua wangu, nilipokuona sikuamini kama ndie mwanamke niliekua nachat nae JF, ama hakika Umzuri sana.
Asante sana JF kwani nimepata wife material na mrembo hasaaaaa.