Nakupenda sana baby ila kila mwezi utanipa laki tatu (3)

Huwa una akili sana ujue.
Hapa hatuko sawa 100%
Bali tunagusa vitu kwa uwingi.
Ni mara chache umjali mtu asikupende.
Nasaema ni mara chache.
Kuna kumjali mtu ila kwa kumpa laki3 kila mwezi hio ni biashara kabisa😂😂😂
 
Mia tatu per month?

Muulize ana degree
Degree ya kukata viuno labda! Mwanamke mwenye akili hii mapenzi tu ndio yanakuwa kitu pekee anachoweza kukitoa kama mtaji wa kujiingizia kipato!

Nikisikia amegraduate huyo malaya basi nitaaga huu huzi!
 
Wenzio iyo laki3 iko kama efu20 ktk marupurupu yake na anaitoa bila hata kuhisi kama kuna mahali ametoa
Kama mbunge sawa 😅😅😅 maana hio ni posho ya siku anaweza akatoa kila mwezi katika zile million 12 zake ikawa kama kujamba usingizini tu 😅
 
Kama wewe inakosa sio wote....maisha ulonayo sio lazima yafanane na wengine! Sisemi nina ela nyingi Ila kwa laki3 ya kumpa mpenzi ni ela ya kawaida kabisa...ila sio kwa wote.....kwaivo sio lazima iyo ela iwe ya kawaida kwako makasiriko ya nini sasa?
Acha tambo wewe, ikipitishwa rambi rambi tu humu hamkawilii kukimbia uzi 😅😅😅!!! Af leo hii eti unavimbia kabisa laki 3 hela ndogo tu kmmmk walai 😅
 
Tatizo wadada mnaoomba pesa mda mfupi baada ya kutongozwa, mnafanya hivyo kwa nia ya kutukomoa, na sio kwamba mna shida kweli, ushaona mm kidume nina sura ya sokwe Na sikuvutii kingono ila kwa vile nimekushobokea na nimekutongoza, unaona bora uniakamue hela witnessj
Hahahahah kwahio mwamba una sura ya sokwe dah 😂😂😂 unazingua ujue! This qoute should be documented 😂😂😂
 
Hapana bidada huyo sio kumsaidia huyu anajua anacho kifanya yaani kwake yeye kuwa na mwanaume ni ajira.

Okay yeye kadai laki tatu kwa mwezi, namimi nisemeje sasa nimwambie atanipa K mara ngapi kwa mwezi?
Mana huu ni mkataba sasa.

Am sorry mkuu ila naweza sema huu ni ukahaba tu na hukuna mapenzi ya namna hii K yake bei ya chini ni laki tatu so inaweza kupanda pia.
Huyu ilibidi apambanishwe na yule mwamba anaepiga bao 16 kwa siku! 😂😂😂😂 hadi kamimbiwa na mkewe ufilipino huko!
 
Uko sahihi mkuu
Mfano unakuta mtu hata hiyo laki tatu kuipata kwa mwezi ni mbinde mtu unapambana unajibana unajinyima nk
Kumbuka pia ana ndugu wenye shida za hapa na pale
Halafu mtu anakuja eti mpe hela we mpe hela kwani mahisiano ni kazi? Kama kutombn raha si wanapata wote?? Na kama mtu unaona hiyo hela ni rahisi namna hiyo si akaitafute na yeye

Mambo mengine ni kujiendekeza aisee
Unamwambia katafute hio hela uje unipe kama unavyoniomba kizembe hapa😂 maana lazma atajiropokesha tu ohh hela yenyewe laki tatu tunasumbuaana hivi!

Unampachikia jibu hapo hapo...😅
 
Ningekuwa mimi ningemkubalia ningechataka mbususu kisawasawa kwa siku 30 mwisho wa mwezi ukifika nampiga chini
 
Back
Top Bottom