Kichaa Msafi
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 1,088
- 2,141
- Thread starter
-
- #161
mkuu sina dharau hata chembe, kama nimekukwaza kwa kutaja kabila nisameheDharau zako zimechangia.Wazazi wanamjua mtu yukoje.Kwa mfano hapa tu umetaja kabila "Wamakonde wale"...tabia ni kama ngozi.
Issue siyo dini hapo.
Shangazi siku ukipata mahaba niue upo radhi kuwa kafiri?[emoji28][emoji28][emoji28]karibu
[emoji23][emoji23][emoji23]Ulifanya vyema sana katafute kafiri mwenzio
Sidhani kama kulikuwa na haja ya kusikilizia wakati wazazi wa binti walishakataa na kusema uhusiano ufe. Mtoa mada nakuunga mkono kwa hili.Hukumpenda wewe na unaendekeza tamaa! Si ungevuta vuta mda kwanza usikilizie!
Papuchi mpya ushasahau kila kitu, asee mwanaume sio babaako kweli!
nashukuru kwa kunikumbusha mkuu na ushauri pia japo imekuwa ndivyo sivyoIla nawe ulikosea. Mi naona laiti kama ungempenda ungepigana na hayo mpaka kushinda. Dini/imani ina manufaa kwa mtu binafsi, wazazi/walezi hawawezi kumchagulia imani.
Kama mliishi miezi 2 nyumba 1 mkishare chumba, kitanda, vikojoleo nk ulishindwaje kuwashawishi hao wamakonde kwamba pepo inatafutwa na mtu mwenyewe?
Sawa baba kijacho ila kuwa makini usijekufanywa Emannuel Eboue
nimekuelewa mkuuHivi ni kwa nn wanahusishwa wazazi wakati wa ndoa na si wakudanga?
Na ipi nafasi ya mzazi katika maamuzi ya mtoto? Kwa hili tutatofautiana namna ya mitazamo kuna ambao wanatumia logic na wengine wanatumia mitazamo ya kiimani ila hii ya kiimani ingependeza km unaifahamu ya A basi jaribu kuulizia na ya B nayo inasemaje ili kupata kufaham unachojadili...
E.G......
Upo India ukamuona ng'ombe ukasema kile ni kitoweo ghafla unashtuka unapigwa kibao na muhindi wa jirani yako kwa kuona umemkashifu kiumbe mtakatifu kwao.
Ukienda kushtaki hii kesi inakuwa mzito kidogo kuihukum kwa kuwa wote wawili munamuamini ng'ombe kinamna tofauti.
Kwa mantiki hiyo wazazi wasihukumiwe saaaana ikumbukwe maelezo ni ya upande mmoja na wadada zetu wakipenda ndo hawaambiliki.
La msingi umesimamia msimamo wako kiongozi kaza na unachoamini.
ahsante mkuuSidhani kama kulikuwa na haja ya kusikilizia wakati wazazi wa binti walishakataa na kusema uhusiano ufe. Mtoa mada nakuunga mkono kwa hili.
Hahhahahahahahahaahahaaaaaaaaaaa[emoji3] wazee wa kitonga utawajua tu
Yaani una bahati sana mkuu,ama kweli bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.kama kuzini tulishazini sana toka akiwa kidato cha 4
bahati ya nini mkuu au kuziniYaani una bahati sana mkuu,ama kweli bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.
Siyo kuzini mkuu,bahati yako ni kuwa umekoswa koswa na mvua 30 ,ingelikuwa ni kipindi hiki cha mzee baba sidhani kama ungetoboa aisee.bahati ya nini mkuu au kuzini
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Siyo kuzini mkuu,bahati yako ni kuwa umekoswa koswa na mvua 30 ,ingelikuwa ni kipindi hiki cha mzee baba sidhani kama ungetoboa aisee.
dah tena kwa kiwango kikubwaudini inaua sana bara la africa...........na hasa wenye hii tabia ni upande wa mwanamke na wanawake wenyewe.......povu ruksaaaa
[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
Ungemtorosha aisee, naamini yeye angekubali. Sasa hivi ni yeye anaumia, wajomba zake ni wanafiki tu hata kama wanalia sasa hivi. Binti naye hakujiongeza. Lakini pia mshukuru Mungu kwasababu kuna kitu alikukwepesha nacho kama hakuna kati yenu aliyepata wazo la kufosi kingi.dah nahisi inamuumiza sana
ni kweli mkuu wazazi inabidi wajifunze inapofikia swala la mahusiano wawaachie vijana wafanye maamuzi wao wawd ni washauri tu na si vinginevyoUngemtorosha aisee, naamini yeye angekubali. Sasa hivi ni yeye anaumia, wajomba zake ni wanafiki tu hata kama wanalia sasa hivi. Binti naye hakujiongeza. Lakini pia mshukuru Mungu kwasababu kuna kitu alikukwepesha nacho kama hakuna kati yenu aliyepata wazo la kufosi kingi.
Et mim naona sio Magum ni jambo la kufanya maamuzi Magum tu kati ya wahusika hatua ya mwsho ni kufunga ndoa serikalin basi ila kuachana kisa dini mmh hapanDuh maskini!!! Sipati Picha huyo Dada atavyoumia!!! Hu! Hu ! Hu!! Pole yake maskini! Haya mambo ya dini huwa magumu loh
Ata mim yan ngefaya maamuz Magum tu.wazazi wengine wanakosea sana.
kurudishana nyuma tu.
Ningekuwa mimi ndo huyo binti ,ningeshaolewaga. nikiamua kitu, sirudishagi mawazo nyuma