KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,902
- 9,323
Sioni kama hapa naweza kuwa na maneno yakukwambia kwani nikisema niongee nitakuwa namaliza bandwidth ya watu! maelezo muhimu ni kichwa cha habari.Maswali hayatajibiwa! ila ushahuri utapokelewa! Je bila ya kutaja yaliyotokea/yanayokutokea katika mahusiano yako je unamtu unataka umwambie ujumbe huu kama ndiyo weka maneno yako ili ajue kuwa bado upo naye/na bado unampenda.Funguka mimi nimeisha sema.