hivi upendo ukipoa hali inakuwaje?
ha haaaa, wewe babu achana na small boy, lol!
tena huyo akija na I love you ndo ataiona my true colour, lol!
Hivi hilo neno lina matatizo gani mtu akikwambia wakati kweli anakupenda kama dada/kaka au babu/bibi??
Kwa hiyo ni kosa nikisema, "nakupenda (I love you) mkubwa mwenzangu FP"..???
Nahisi nimekwama mahali...lol!!
Babu DC!!
ha haaa, ijaribu siku moja.... inafaa sana, siku nyingine hakujii nayo, lol!Ha ha ha ha, umeona eeh, tena 'really??' ndio kiboko yao
Ila kwa nini mwanamme akikuudhi 'award ya kimataifa' anayokuja nayo ni mwenge wake wa uhuru? Afu anaona kama kakupendelea, basi mie naudhika kama nini? Ila hii nitaitafutia siku ije na sred yake.
haina shida kama unaniambia kama dada......Hivi hilo neno lina matatizo gani mtu akikwambia wakati kweli anakupenda kama dada/kaka au babu/bibi??
Kwa hiyo ni kosa nikisema, "nakupenda (I love you) mkubwa mwenzangu @FP"..???
Nahisi nimekwama mahali...lol!!
Babu DC!!
Yaani 'nakupenda' inaanza kupoteza maana
Wengine kutamka hili neno kwa mtu mpya inakugharimu mazoezi ya miezi sita, kila ukimuona unafuta jasho tu
Inawezekana kwan uko wapi ndugu yangu?hata hivyo nina mpango wa kuachia ngazi naona kama nautesa mtima wangu wkt mwingine ukipigia cm hapokei ukisema umuulize hataki anakuwa mkali basi ni shida tupu!Mmh, labda mie ndio mpenzio!!!:-* maana jibu la asante kama simaanishi huwa lipo tu
babu Dark City, naona sasa hawa wajukuu zako wamekuamulia, lol!Utu uzima dawa, babu umeamua kufikisha ujumbe kwa FP kwa mtindo huu?
Kweli wazee mna mbinu, ndio maana mie nam-adimaya mmoja hivi ila hanipi nafasi ya kumwambia nitakacho
ha haaa, ijaribu siku moja.... inafaa sana, siku nyingine hakujii nayo, lol!
hiyo thread ifikirie basi tutaisubiri watujuze wao wenyewe...
sasa sijui wewe rafiki siku hiyo utakuwa upande gani? maana Smile haachi kukuuliza kama wewe ni ke kwa kila uzi, lol!
Inawezekana kwan uko wapi ndugu yangu?hata hivyo nina mpango wa kuachia ngazi naona kama nautesa mtima wangu wkt mwingine ukipigia cm hapokei ukisema umuulize hataki anakuwa mkali basi ni shida tupu!
i lolike u babu
mtu hatakupenda tu hivi hivi babu kama wewe?
Huyu Kaizer atakupoteza kama alivyompoteza @Klorokwin
Mmh, unampotezea Mvaa tai kiupole, ungesema asante tu tukajionea response yake hapa aseme amejisikiaje kujibiwa asante
Mie mgomvi lakini?!
Hiyo inaitwa killing me softly!
Nakubaliana na sarikoki sentensi 'l love you' imepoteza maana hasa kwa waTZ ambao tuna neno moja tu 'nakupenda' likimaanisha both 'love' and 'like'.
Utu uzima dawa, babu umeamua kufikisha ujumbe kwa FP kwa mtindo huu?
Kweli wazee mna mbinu, ndio maana mie nam-adimaya mmoja hivi ila hanipi nafasi ya kumwambia nitakacho