Nakupenda. . .Asante!!

hahahahahaha.........

Orait orait ..well well well
Hivi snowhite mwalimu wangu unajua Asprin alipo?

we acha tu!
yani wamepoteamo humu na nkewe(ahahahah )@cacico sijui wako wapi!
hivi Asprin kwani ukiambiwa watoto wamekua we ndo unaamua kupiga kitu 1-31 ili?
 
Last edited by a moderator:
mstaafu kilikuwa kivuli tu

eti bibi pekee? Mie nilikuwa namtizama tu

ngoja nipumzike maana naona pumzi inakwisha.

ahahahahahha :A S 39:
:A S 39::A S 39: ndo mi nikawa najiuliza kila siku hii habari ya oh mimi nishastaafu hiii something is fishy hapa Kaunga unakumbuka! Dark City alikuwa na sababu i see njoo usikilize confesheni huku
 
Last edited by a moderator:
we acha tu!
yani wamepoteamo humu na nkewe(ahahahah cacico sijui wako wapi!
hivi Asprin kwani ukiambiwa watoto wamekua we ndo unaamua kupiga kitu 1-31 ili?


hii slogani ya kustaafu kumbe inalipa...sasa umenikumbusha na cacico shemeji yangu pia simwoni....
FP na Kongosho, na Smile have 'an ear to the ground' aiseee!
 
Last edited by a moderator:
mstaafu kilikuwa kivuli tu

eti bibi pekee? Mie nilikuwa namtizama tu

ngoja nipumzike maana naona pumzi inakwisha.


"baasi usimalize kusema" Kongosho lol

kwa hiyo, hii phrase ya mfano ya kumpenda mtu, I mean kwa mfano, ni geresha tu....aiseee!
 
Last edited by a moderator:
haya jamani mimi nimeamua kukaa kimya (natamani kusema najilia vyangu kimya kimya lakini siyo kweli, lol!)
endeleeni kuniandama na huyo babu ambaye hata akiona tabasamu langu moyo haumdundi.... kwa jinsi alivyostaafu, lol!
cc. Kongosho, snowhite, Kaizer, Paloma, na mtu mzima mwenzangu tunayeelewana sana Dark City
 
Last edited by a moderator:
AHAHHAHHAHAH AF MI NDO MANA MAMA K SIMPENDAGI!ALIFANYA NIKAWA NAKULA SANA MBOGA ZA MAJANI!naona mpka visivyo size yangu! Kaizer na we umeonamo?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…