Nakupa mtaji, ila 70% ya faida utakayo ipata ni ya kwangu

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Nov 8, 2012
3,908
2,095
Habari wapendwa.

Kama una idea ya biashara yeyote, wewe njoo kwangu, nitakupa mtaji usio zidi 2 milions na faida itakayo patikana tutagawana, mimi nnachukua asilimia sabini na wewe utachukua zilizo baki.

Ninapatikana Mbeya, karibuni.
 
Mkuu please ni pm namba yako, na je? huo mkataba utaendelea hadi mda gani?
 
ni pm nipe hiyo hela lakini kwa masharti ya kutotajiana "idea" ya biashara.. wewe ni mtu wa tatu humu kujifanya kutoa mtaji kumbe mnaiba idea za watu.. hovyo.
 
Wewe ni jew nini?maana deal kama hizo zinapatikana world bank or international monetary fund sabini huwa ni yao hawajali kazi na expenses utakazo incur,inatisha muzee jaribu kufanya marekebisho kidogo hapo.M/Mpamba.
 
Hizi lazima zitakuwa hela za majini au za urithi......kwanini kwanza usiwakomboe nduguzo wanaoshinda njaa hapo Mbeya....
 
naomba uliza 2mil ktk highly paid paid business inaweza leta faida ya kiasi gani wataalamu nijuzeni kwani natamami kutoka haraka haraka lakini sifahamu nizizungushaje? msaada pls januari ndio hiyoo!
 
ni pm nikupe biashar ila iwe unanipa asilikia 40 ya faida utakayopata kwa huo mtaji wako.0763689661
 
Habari wapendwa.

Kama una idea ya biashara yeyote, wewe njoo kwangu, nitakupa mtaji usio zidi 2 milions na faida itakayo patikana tutagawana, mimi nnachukua asilimia sabini na wewe utachukua zilizo baki.

Ninapatikana Mbeya, karibuni.

Hollow tujadili kuhusu biashara nipo Sumbawanga, nimeona fursa sina mtaji
 
jf raha sana, wenye mawazo ya biashara, hawana mitaji, wenye mitaji hawana mawazo ya biashara!
Ndugu kuna njia mbali mbali za kufanya biashara, na hii ni mojawapo, its like a company hv......
 
Ikitokea hasara ile kwako kwa 70%. Unasemaje
The highest risk should give the maximum profit, lazima uuelewe huu msemo, na kila biashara inarisk zake na always huwa hatulipi tatizo nafasi ya kwanza, zaidi ni asilimia ya tatizo kutokea.

kumbuka "THE HIGHEST RISK SHOULD GIVE THE MAXIMUM PROFIT"
 
Habari wapendwa.

Kama una idea ya biashara yeyote, wewe njoo kwangu, nitakupa mtaji usio zidi 2 milions na faida itakayo patikana tutagawana, mimi nnachukua asilimia sabini na wewe utachukua zilizo baki.

Ninapatikana Mbeya, karibuni.

Mi nipo uyole Mbeya nikupate wap?
 
Back
Top Bottom