Za kike zipo?Original Rasta
Zisizo na colar ni sh ngapi boss...?Hiyo inauzwa plain 24.. tisheti nzuri sana hiyo. Kwa kuwaprintia ma-Ceo inafaa sana. Wauzaji wanaitwa dar city printing
Kuvaa safety boot mtaani bongo hii ni sawa kabisa, na hata ukivaa helmet kichwani pia sawa tu, nchi hii usalama ni wewe mwenyewe, fashio nchi wapi.American buti sio? Au nyie ndo mnovaa safety boot mtaan?
Mkuu nimechelewa kukufahamu, binti ameshaenda shuleni. Utanitafutia size 43 ya kike December akirudi
Inategemea mkuu na mwonekano wake ma vampire ndo tunazuga nazo kuisha mkataba root za kijijn kwenda mashambani huniamini kitu😹Hahaha au sio? Safety buti za waruga ruga. Mda wote kama yuko gereji tu
Hii napata size 2xl?baba morgan huwezi kujutia kuijua hii brandView attachment 3130953View attachment 3130954View attachment 3130955