Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
#bazazi wewe kwa majibu aliyokupa wala sina wasiwasi una miaka kama kumi kuja kumpata![
/QUOTE]
Hahahahaahahhahaa hapo ndo nimeamini kuwa haujaona hyo PM.
#bazazi wewe kwa majibu aliyokupa wala sina wasiwasi una miaka kama kumi kuja kumpata![
/QUOTE]
Hahahahaahahhahaa hapo ndo nimeamini kuwa haujaona hyo PM.
What the Hell!???????????????????????? Did this just come off your head...Nimeshindwa kuhuzunika maana ukipigwa kibuti kwa tungo murua kama hizi walahi huwezi kujihisi maumivu ya moyo!
lara 1 u got some talent in this hun...ila duh, hadi kwenye shairi bado unawaza pesa! we noma..
Cc: Mtambuzi, Nicas Mtei, Vin Diesel, Asprin, KakaKiiza - nahisi kuna libazazi limoja kati yenu limeniibia hiki kifaa changu.
Wapendwa: mwallu, miss neddy, Munkari, miss chagga, sister, Sista, King'asti, charming lady, Elizabeth Dominic, badiebey - namtafuta mrembo wa kumghania tungo hizi!!!!
Wenu PM Moderator, Mentor.
heeee jamani afadhali nimekuona ndugu yangu
ulipotelea wapi mbona sikukuona get together juzi bestito?
!
Sisahau mamii...will be waiting! [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action
Pouwaaa!
kaka wanijua nilivyo na soni....!
Shhhhhhhhh....unaharibu Elizabeth!!!!
Hujambo mdogo wangu?
Me miss you saaaaana!
He he he, maisha yenewe yako wapi ya kujibana?
Mkiwa mbali teknikale mmekubaliana mechi za mchangani, ila mwenye hati miliki anakuwa huyo ulomchagua. Ukiikubali hii basi mpenz ya mbali yanafaa.
Hata hivyo, kuna ile unamwambia mtu, ukimpiga chura teke umempunguzia mwendo - sosi King'asti
Kabla hajaenda unamdediketi huu wimbo
Kongosho, kujiachia kwenyewe kuko wapi na magonjwa haya nje nje!??
Kujihalalishia mechi za mchangani kupo tu hata kama anaishi next door..wait hata kama mnaamka kitanda kimoja. I've come to learn that as i progressed through the years..it's just a tabia!
And sio kwamba tangu mmefahamiana ni mnaishi mbali 9this wasn't the point of my poem na hakika sikubaliani sana na mahusiano kama hayo)...but here you are Kongosho, with this lady you know for over four years...na kwa muda wa mwaka mmoja atakuwa masomoni. Je, ni tiketi ya kuvunja mahusiano?
King'asti, tafadhali niambie ulimaanisha nini hapo?
kaka wanijua nilivyo na soni....!
Hivi Mentor unamoderate PM kuanzia lini?
Hahahaa
Let me shut it but shame on them girls eeh.......hawajui wewe single boy for real
Mim ndo nimeshamaliza hapo Mentor
Sitaki ugomvi ujue
King'asti is it, "Ukimpiga chura teke, unampunguzia mwendo au unamuongezea mwendo"hehehe, yaani wewe mwehu umenimiss-quote bwana. Mentor, mie sina tatizo na distant relationship as long as na mwenzangu anabehave. mie nachukia partner asiebehave na namtandikia kitanda kila siku afu anaenda kuwapa raha wengine. huyo simsamehi na mie lazma niharibu afu ndo tujadili aisee.
hako kausemi ni kwa yule mwenza anaejiona kama kalmati ya madhiwa (muulize farkhina utamu wake). yaani akijiona yeye msweet sanaaaaaaa afu ananiletea pozi ajue ndo kampiga chura teke. wanasema ukiona jambo kwanza likubali then lishughulikie wakati unaapreshieti limits zako kama mwanadamu. ukilazimisha kupendwa unajitia stress. ukisema humpendi king'asti ujue ndo umempunguzia mashuzi ya kunde!
hehehe, yaani wewe mwehu umenimiss-quote bwana. Mentor, mie sina tatizo na distant relationship as long as na mwenzangu anabehave. mie nachukia partner asiebehave na namtandikia kitanda kila siku afu anaenda kuwapa raha wengine. huyo simsamehi na mie lazma niharibu afu ndo tujadili aisee.
!