Tatizo lako mdogo wangu unawaza cheating tu. na unajua uswahili tena. hivi unaweza ambia ulimwengu nimemuacha Paw kwa sababu yuarudi nyumbani saa nane usiku kila mara na mie ni mpweke? ama nimemuacha kwa sababu ananuna? nikuambie, mara dufu mwanaume anaecheat kuliko anaenuna ama ambae hayupo wakati wote (kwangu mie binafsi, manake huwa siwazii cheatings, mwili wake na autumie apendavyo). ila sasa kuna zile relationships unakuta mtu yuko kama chupa ya plastiki iko kwenye edge kabisaa ya meza, ukiipuliza tu ama kupumua kwa nguvu inaanguka. hapo ndo safari imefupishwa.
Nakupa homework, hebu msome chura na paka. Hata umpigeje teke chura huwezi muumiza, sawa na paka. na faida kubwa zaidi ni kuwa wakati anatua chini ndo kabisaa haumii.
nimependa huo ushauri uliompa mdogo wangu
MwanajamiiOne, wa kumtaftia babu mwenzie hehehehe. si ndo yale niliyokuwa nasema?