Nakungojea

Nakungojea

Principle ni "kabla hujaliwa, mle yeye"

King'asti is it, "Ukimpiga chura teke, unampunguzia mwendo au unamuongezea mwendo"

Again, BOLD & RED ...hapo utakuwa unajikosea wewe mwenyewe. Remember, two wrongs don't make a right! (Besides, it is a well known fact that men are weak kwenye hiyo sector, what'l be your excuse?)

Does it mean kwenye kamusi yako ya moyo hakuna neno 'kuumia'??!
 
Last edited by a moderator:
hehehe, do i need an excuse? like for real?
miaka ya kuvumilia na kuteseka just because we were born female ilishapitwa kakangu, learn from me.
Kuumia kupo, ila sitakaa hapo chini nikuombolezee kama nimekuzaa mie:A S 27::A S 27:

King'asti is it, "Ukimpiga chura teke, unampunguzia mwendo au unamuongezea mwendo"

Again, BOLD & RED ...hapo utakuwa unajikosea wewe mwenyewe. Remember, two wrongs don't make a right! (Besides, it is a well known fact that men are weak kwenye hiyo sector, what'l be your excuse?)

Does it mean kwenye kamusi yako ya moyo hakuna neno 'kuumia'??!

Ahahahaha, nnlivyo na hamu na umbeya mama weeeeeeh! Ngoja nikusake leo tule ubuyu.
Mentor haelewi kuwa chura kama paka, ukimrusha anatua chini bila kuumia. Ukimpiga teke ujue ndo umempunguzia hatua kama 20 hivi za kwenda kutua, unakuwa umempunguzia mwendo. nisaidie kumuelewesha bwana, kiswahili hainyoroki
He he he, nna umbea huo (just my imaginations)
Unaniuma kama ugonjwa

Mentor hakunipatatu, nilimaanisha hata mapenzi ya mbali, kama mtu akiamua kuondoka poa tu. Ni swa na kumpiga teke chura, maisha yatasonga tu.
 
Duh! same difference lakini! KWa nini isiwe jiweke pembeni...



One day it will be yours...


MwanajamiiOne, ina maana nyie wazee hamghaniani tungo tamutamu kama hizi???!

Hah Mentor wakat ukuta ................ Mheshimiwa Mbunge wa Nyumbani kwangu ye ana muda wa kusikiza radio mkulima yake, kiko mdomoni na gazeti lake mkononi basi, sana sana umtabasamishe na kikombe cha kahawa, ukiimba hata njiwa peleka salamu, anakwambia makelele ataka kupumzika, almuradi anazeeka kivyake.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha...kumbe u have a nerdy side of u huh! i thought u were all money ma'am...my bad!

Well i love reading..all manner of literature! Inafurahisha kusoma kazi za malenga wetu and I must say ni katika kusoma kazi hizo ndipo nilipopata ka-inspiration ka kughani beti hizi tano...call it, 'standing on giants shoulders'

Nilichomaanisha ni, kwa dakika hizo tano nilizopost hiyo tenzi umeweza kuandika beti ambazo japo kishairi zimekinzana na sheria mama lakini ujumbe umefika nikajiuliza, ungepewa lisaa limoja je!!!!

That's what I call talent!

Katika waandishi wa Africa, i can say Both Chinua Achebe n Ngugi wa Thiong'o.

Kuna na huyu Okot p'Bitek aliyeandika Song of Lawino. Kila siku natamani kuandika kazi ya fasihi kwa muundo huo wa majibizano yenye pande mbili...ila, One day yes! I WILL.

Keep it up lara 1 ...i meant it!

PM Moderator, Mentor.

JF got talent bana imenikumbusha show ya america's got talent

Hapo kwenye Song of Lawino nakumbuka Lawino alivokuwa akimchabua small house ya mmewe Clementina loh!!!
 
Mmmmh! Imetulia haswaa kama maji mtungini,na umngoje huyo mwenzio usifanye ufitini,miye nangoja mwaliko wa kuja harusini,penzi la mbali mziki yafaa kuwa makini!!!
 
hehehe, do i need an excuse? like for real? miaka ya kuvumilia na kuteseka just because we were born female ilishapitwa kakangu, learn from me. Kuumia kupo, ila sitakaa hapo chini nikuombolezee kama nimekuzaa mie:A S 27::A S 27: Mentor haelewi kuwa chura kama paka, ukimrusha anatua chini bila kuumia. Ukimpiga teke ujue ndo umempunguzia hatua kama 20 hivi za kwenda kutua, unakuwa umempunguzia mwendo. nisaidie kumuelewesha bwana, kiswahili hainyoroki
Then kwa nini usisepe tu kimya kimya kuliko kufanya yale yaliyokufanya ukasirike alipoyafanya? Sasa nimekuelewa unaposema unampunguzia hatua...kiswahili ni lugha mujarabu na pana sana inahitaji ubongo mwepesi kuelewa msemaji ana maudhui gani. Kwamba kwa kumpiga chura teke, umempunguzia hatua alizokuwa arukeruke kutoka alipokuwa hadi alipofika kwa teke lako..ingawa usisahau utakuwa umemuumiza (inconvenience) kwani hiyo si natural way yake ya kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
Hah Mentor wakat ukuta ................ Mheshimiwa Mbunge wa Nyumbani kwangu ye ana muda wa kusikiza radio mkulima yake, kiko mdomoni na gazeti lake mkononi basi, sana sana umtabasamishe na kikombe cha kahawa, ukiimba hata njiwa peleka salamu, anakwambia makelele ataka kupumzika, almuradi anazeeka kivyake.
MH! Huyo babu mtafutie mbabu mwenzie...!!! (sikushauri mjukuu..wasumbufu sana hawa!)
Mmmmh! Imetulia haswaa kama maji mtungini,na umngoje huyo mwenzio usifanye ufitini,miye nangoja mwaliko wa kuja harusini,penzi la mbali mziki yafaa kuwa makini!!!
Munkari, huenda akawa wajina!!!! PM Moderator Mentor.
 
Last edited by a moderator:
Ah Mentor wee meno yenyewe yako wapi Mjukuu mie, kwishney yamebaki mapengo ya kutafunia ndizi mbivu, mahindi wantafutia madhila.
 
Last edited by a moderator:
Pata kiroba kimoja urudi hapa. Usisahau kurudi na Asprin, aliaga muda kweli.



Muulize mwajiri wangu: Mike McKee.



Imagine! Me coming for u...



Mimi na wewe twajua kuna ambalo hujalisema...funguka



Mimi na wewe?


PM Moderator, Mentor.

Nani thatha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom