Nakungojea

Nakungojea

Hahahaaaaa!!!!!!!!! What do you mean i have got talent? DONT BE SO DRAMATIC!!!!!!! Talented walikuwa kina Shaaban Robert, Mloka (Diwani ya Mloka), Malenga Wapya, Kina mza Akhmed alikuwa ana ghai zaidi kuliko kufanya original ushairi pale RTD late 1990's. Those people arethe best! Japo kazi zao ni 30yrs to 50 yrs old ila ni TIMELESS! I liked shaaban robert na nimemsoma sanaa japo my all time favorite was DIWANI YA MLOKA!

The sister is learned Mentor! Chezea O- LEVEL major in LITERATURE!!!!!!!!!!! Mambo ya ze shairi in kingreza! Weeeeeeee!

Calling me talented i cheating before the masses! Shairi mizani imekongoroka, beti zinaning'inia, vina kushney babu j, uzani marehemu siku nyingi! Wakikusikia wenye fani yao huko mbele za haki watarudi ghafla!

Na vijana sio kuhinda kwenye TELEMUNDO, na DSTV all time, siku moja moja exploit your HISTORY and honor your ANCESTORS! Read African Literature. Chinua Achebe was the best for me.

Hahaha...kumbe u have a nerdy side of u huh! i thought u were all money ma'am...my bad!

Well i love reading..all manner of literature! Inafurahisha kusoma kazi za malenga wetu and I must say ni katika kusoma kazi hizo ndipo nilipopata ka-inspiration ka kughani beti hizi tano...call it, 'standing on giants shoulders'

Nilichomaanisha ni, kwa dakika hizo tano nilizopost hiyo tenzi umeweza kuandika beti ambazo japo kishairi zimekinzana na sheria mama lakini ujumbe umefika nikajiuliza, ungepewa lisaa limoja je!!!!

That's what I call talent!

Katika waandishi wa Africa, i can say Both Chinua Achebe n Ngugi wa Thiong'o.

Kuna na huyu Okot p'Bitek aliyeandika Song of Lawino. Kila siku natamani kuandika kazi ya fasihi kwa muundo huo wa majibizano yenye pande mbili...ila, One day yes! I WILL.

Keep it up lara 1 ...i meant it!

PM Moderator, Mentor.
 
Last edited by a moderator:
Mentor unakitu muhimu sana katika kichwa chako, lara 1 kaeni mezani na huyu kijana na kaka Mtambuzi am sure you will come up na kitu kikubwa zaidi ya hapa!
 
Hahahahah Mentor na lara 1 mna vipaji sana hongereni

Thanks Luv.

Nice one,kip it up hehehehe aliyetungiwa mbona ana balaa
Asnam..balaa hapo imetumika kumaanisha!??

Ili mradi usiwe mwoga.

Get a room you two.

Mhmmm wewe ungejua wewe ungeisha sema!

Inamaana hata wewe babu utakuwa unakaguliwa na Mentor???

I have my ethics Mr. Bazazi...heheheh.

Btw mpiemu tena yule dada huenda akakujibu vyema zis taimu...si unajua sitaki nataka!!!


PM Moderator, Mentor.
 
Last edited by a moderator:
He he he, maisha yenewe yako wapi ya kujibana?

Mkiwa mbali teknikale mmekubaliana mechi za mchangani, ila mwenye hati miliki anakuwa huyo ulomchagua. Ukiikubali hii basi mpenz ya mbali yanafaa.

Hata hivyo, kuna ile unamwambia mtu, ukimpiga chura teke umempunguzia mwendo - sosi King'asti
Kabla hajaenda unamdediketi huu wimbo
Kongosho, kujiachia kwenyewe kuko wapi na magonjwa haya nje nje!??

Kujihalalishia mechi za mchangani kupo tu hata kama anaishi next door..wait hata kama mnaamka kitanda kimoja. I've come to learn that as i progressed through the years..it's just a tabia!

And sio kwamba tangu mmefahamiana ni mnaishi mbali 9this wasn't the point of my poem na hakika sikubaliani sana na mahusiano kama hayo)...but here you are Kongosho, with this lady you know for over four years...na kwa muda wa mwaka mmoja atakuwa masomoni. Je, ni tiketi ya kuvunja mahusiano?
King'asti, tafadhali niambie ulimaanisha nini hapo?
 
Last edited by a moderator:
He he he he, mwaya huwezi kumwacha ial cha moto mtakiona

Bora mtu anede bali mkiwa mshawowana na watoto mmezaa, ila mpya mpya akienda mbali waweza pata uwehu

Kongosho, kujiachia kwenyewe kuko wapi na magonjwa haya nje nje!??

Kujihalalishia mechi za mchangani kupo tu hata kama anaishi next door..wait hata kama mnaamka kitanda kimoja. I've come to learn that as i progressed through the years..it's just a tabia!

And sio kwamba tangu mmefahamiana ni mnaishi mbali 9this wasn't the point of my poem na hakika sikubaliani sana na mahusiano kama hayo)...but here you are Kongosho, with this lady you know for over four years...na kwa muda wa mwaka mmoja atakuwa masomoni. Je, ni tiketi ya kuvunja mahusiano?
King'asti, tafadhali niambie ulimaanisha nini hapo?
 
nadhan ntachukua baadhi ya maneno iwe kama reference later in life.nimeyapenda
 
What the Hell!???????????????????????? Did this just come off your head...Nimeshindwa kuhuzunika maana ukipigwa kibuti kwa tungo murua kama hizi walahi huwezi kujihisi maumivu ya moyo!
lara 1 u got some talent in this hun...ila duh, hadi kwenye shairi bado unawaza pesa! we noma..

Cc: Mtambuzi, Nicas Mtei, Vin Diesel, Asprin, KakaKiiza - nahisi kuna libazazi limoja kati yenu limeniibia hiki kifaa changu.

Wapendwa: mwallu, miss neddy, Munkari, miss chagga, sister, Sista, King'asti, charming lady, Elizabeth Dominic, badiebey - namtafuta mrembo wa kumghania tungo hizi!!!!

Wenu PM Moderator, Mentor.
Hahahahaha wewe si ndo wajiita PM moderator? Sasa hebu check PM zangu na za lara 1.
Kwenye suala la Intelijensia hata Mike McKee haniwezi. Juzi alikubali mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
heeee jamani afadhali nimekuona ndugu yangu
ulipotelea wapi mbona sikukuona get together juzi bestito?
Duh.....husahau??
Yaani mi nishapoteza hata idea eti!

Anyways.....
Ntajitahidi, ngoja nirudi kwenye uzi nikausome tena!
 
He he he he, mwaya huwezi kumwacha ila cha moto mtakiona

Bora mtu anede bali mkiwa mshawowana na watoto mmezaa, ila mpya mpya akienda mbali waweza pata uwehu

Life haina formula Kongosho,

Ikitokea hivyo unapima tu upendo wenu then utapata jibu whether to stay or go!

Besides, wahenga walisema, "Distance makes the heart grow fonder"

Hahahahaha wewe si ndo wajiita PM moderator? Sasa hebu check PM zangu na za lara 1.
Kwenye suala la Intelijensia hata Mike McKee haniwezi. Juzi alikubali mwenyewe.

#bazazi wewe kwa majibu aliyokupa wala sina wasiwasi una miaka kama kumi kuja kumpata!

Duh.....husahau??
Yaani mi nishapoteza hata idea eti!

Anyways.....
Ntajitahidi, ngoja nirudi kwenye uzi nikausome tena!

Sisahau mamii...will be waiting! #patiently

PM Moderator, Mentor.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom