Nakumbusha, kwani ukumbusho huwafaa waumini

Nakumbusha, kwani ukumbusho huwafaa waumini

D2050

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
1,958
Reaction score
1,190
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuhu.tupo katika mwezi bora katika miezi bora ile 4 katika uislam.kuna jambo napenda kuwakumbusha leo ambalo tumejisahau.

Kuna shule nyingi za za Islamic secondary zinawanafunzi wenye uhitaji wa FUTARI NA DAKU. Wanafunzi hawa wanapaswa kukumbukwa sana katika mwezi huu.wapo pia wanafunzi wanaosoma shule za serikali ambao wapo mashuleni bado hususani wa kidato cha 5 na 6.tuwakumbuke hawa vijana wetu.

Acheni kulishana mijini na kujitangaza mnafuturisha wakati. wapo wenye uhitaji zaidi.pelekeni futari kwa wenye uhitaji mtapa malipo mazuri kuliko kuwalisha watu wenye uwezo mkubwa wa hizi futari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom