Nakumbuka enzi za Shaba Ranks na staili yake ya panki la hatari..........
Dah enzi hizoooochemsha bongo
Mkuu BCBG walikuwa wanatamba na kala yi boeing na hi ho ha.Slow and Sexy-Shabba, halafu kuna huyo Yellow Man AKA Mr Sexy!
Enzi hizo kuna Wenge Musica BCBG, na wale wazee wa "Tombola tombola, mabokolikolo" Sheri Mpasi, tombolaa...Mabokolikolo, eeh eeh eeh eeh eeh eeh, isankele eh...!"
Ha ha ha!Yani hata hatukujuwa most of the words, but mhn mhn!
hbc....
Enzi za prof j wa mitulinga
yoo ma msapu...yo nipoze moyo mama...
There you go!Hao Victoria eleyson, nashukuru kwa kunikumbusha, ilikuwa burudani bana!Mkuu BCBG walikuwa wanatamba na kala yi boeing na hi ho ha.
wale kina kidekule walikuwa wanaitwa victoria eleyson
halafu kulikuwa na zipompapompa na awilo akiwemo bado
She don't let nobody - Shaba Ranks.
Wimbo ambao unless mwanaume hajiamini kwa 100% hawezi kuuimba..
There you go!Hao Victoria eleyson, nashukuru kwa kunikumbusha, ilikuwa burudani bana!
Hao wenge si ndo walikuwa "wenge musica"?Halafu wakagawanyika na kukawa na BCGB?
Nakumbukaaaa....nakumbukaa... Mmhh hapa nisije nikataja Diamond Moyo wangu bure...