Nakumbuka: Part II

Nakumbuka: Part II

YEEEES! atoto wangu kamaliza mgomo wake wa kunichunia... sasa bado mpwa wangu geniveros!! Wallah inabidi sasa niwe na marafiki wa kada mbalimbali ili siku ukiwapa vitasa hawa; wakikuchunia unabaki na wengine!! Nimekoma kuwa na marafiki walimu peke yake! atoto unafahamu ma-lawyer na manesi humu nipange nao urafiki ili niwe na substitution ikitokea siku nimewapa vitasa tena halafu mkanichunia?!

Mie sinaga roho ya migomo wewe la sivyo ningeanza na kugomea watoto wenu.
Mentor njoo unikague nimeghairi sitaki kukaguliwa na chige
 
Back
Top Bottom