Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,091
- 8,773
Ninakubali...Huyu jamaa ni story teller tu, sidhani kama analeta uhalisia wa maisha binafsi. I bet he's under 32yrs of age.
Ninakubali...Huyu jamaa ni story teller tu, sidhani kama analeta uhalisia wa maisha binafsi. I bet he's under 32yrs of age.
QUIGLEY , njoo ufanye summary unisimulie baadae bae..
..angalau saivi nikisoma najua ni fiction. Ile nyingine niliingia mwili na roho.
Okey
Mkuu nimechoka hata kuisoma ngoja nilale niamke
Ndefu kinoma ila hongera xn baba
Sasa wewe mentor ina maana rika lako ni la akina samweli sita
Ingawa me n mgeni,ila nlikuwa naingia ilaa ile nyingine nilitoa machozi!!
Huyu jamaa ni story teller tu, sidhani kama analeta uhalisia wa maisha binafsi. I bet he's under 32yrs of age.
Part 1 iko wapi mtani
Hivyo tu yani!?? [/QUOTE said:Yeap!
Mpendwa. Naona kuna umuhim wa kukununulia notebook nyingine!Imebidi tu nipacopy hapo uliponukuu. Thanks
Haha ntashukuru sana mpendwaMpendwa. Naona kuna umuhim wa kukununulia notebook nyingine!
Ahahah nakupendaga bure...Imebidi tu nipacopy hapo uliponukuu. Thanks
Mentor never writes from the air...isidingo type
Ahahaha mkuu usinikumbushe them days....unaambiwa uandike 'esiara' unadhani ni terminology ya kijeshi kumbe wapi.'' nimesema foleni nyie mnazunguka tu hii tabia mliyo nayo ya kuobey order ya sameja leo lazima mlipie'' JKT hatari sana
It never happens to everyone I agree madam...so iwe funzo kwa ambao wanatabia ya mentor kujiepusha mapema...I was an exception, you may not!Mwisho mzuri, halafu ni jambo la kumshukuru Mungu maana wengi hawapati bahati hiyo, itakuwa ni sala (Uchamungu wa wazazi) umesaidia 'Mentor' akaishia mwisho mzuri.
Nakupendaje pia... Unatumikaga kunigusa mnooo, basi tu. Ubarikiwe hadi ushangaeAhahah nakupendaga bure...
Mentor never writes from the air...
Ahahaha mkuu usinikumbushe them days....unaambiwa uandike 'esiara' unadhani ni terminology ya kijeshi kumbe wapi.
Au 'mustin' kumbe walimaanisha 'mess tin'
good old days.
It never happens to everyone I agree madam...so iwe funzo kwa ambao wanatabia ya mentor kujiepusha mapema...I was an exception, you may not!
Nakupendaje pia... Unatumikaga kunigusa mnooo, basi tu. Ubarikiwe hadi ushangae
Mtcheeew, ulitaka nikupende wewe?
Mtcheeew, ulitaka nikupende wewe?
Kilichokugunisha?Wapi nimesema hivyo?
Mama wapi nimeguna mimi?Kilichokugunisha?