Kweli asee.... leo Mange hajamletea ubuyu mpya?Mimba yake haihitaji maembe, inahitaji udaku tu
AbominationNaelewa... ndio maana nimebariku muungano wenu. Sitaki damu yangu ipotelee maporini

Hahahaaaaa!! Le akili kubwaz sio!!!Na Le Mutuz pia...
hii ni true storry au?
Dah, najuta kwa kukuamini siku zote, hebu niambie na ile ya kuathirika ni story tu?
Na mme pekee wa geniveros
Kwa taarifa yako hivi sasa ana mimba changa. Nshatenga bajeti ya kununua maembe mabichi
Huyu babu kagoma kuzeeka anachukua hadi wajukuu zake khaaaa!Mentor never writes from the air...
Mentor never writes from the air...
Duh kwahiyo kina Kongosho na yule kisauti rafiki yake gfsonwin mlitalikiana!??? Hawa kina geniveros si sawa na wajukuu zako kabisa??? saizi yangu kabisa...
In other news: atoto....
Mwalimu snowhite shikamoo tena,
Nakupenda pia! Bado unakwepa kutoa lekcha....
Tulia dogo. TuliaMentor never writes from the air...
Mentor never writes from the air...
Duh kwahiyo kina Kongosho na yule kisauti rafiki yake gfsonwin mlitalikiana!??? Hawa kina geniveros si sawa na wajukuu zako kabisa??? saizi yangu kabisa...
In other news: atoto....
Mwalimu snowhite shikamoo tena,
Nakupenda pia! Bado unakwepa kutoa lekcha....
Achia wajukuu zako sasa, unambemenda mwalimu.Tulia dogo. Tulia
Ukiisoma, unisimulie tafadhali.....and cut to the chase plz..angalau saivi nikisoma najua ni fiction. Ile nyingine niliingia mwili na roho.

Mwache afaidi mafao ya kustaafuAchia wajukuu zako sasa, unambemenda mwalimu.
Oooh!! Kumbe kafuata mafao! Basi sawa na hiyo mimba aliniambia ni ya yule kijana jirani yenu.Mwache afaidi mafao ya kustaafu
Huyu babu kagoma kuzeeka anachukua hadi wajukuu zake khaaaa!
Ukiisoma, unisimulie tafadhali.....and cut to the chase plz![]()
![]()
![]()
Oooh!! Kumbe kafuata mafao! Basi sawa na hiyo mimba aliniambia ni ya yule kijana jirani yenu.
Hako kajarida kadogo kanakushinda kusoma we spinderella? Mbona ulisoma mikate ya anatomy bila kuchoka!!!Ukiisoma, unisimulie tafadhali.....and cut to the chase plz![]()
![]()
![]()
Hako kajarida kadogo kanakushinda kusoma we spinderella? Mbona ulisoma mikate ya anatomy bila kuchoka!!!

Hainaga ushemeji.... mi ntalea tu.Oooh!! Kumbe kafuata mafao! Basi sawa na hiyo mimba aliniambia ni ya yule kijana jirani yenu.