Usifunge mlango.... ntamleta. Hakikisha unalala without...Mentor hata sijui aliko so kwa mimi nashukuru.
Khaaaah babu!! Hiyo ni abomination!!Usifunge mlango.... ntamleta. Hakikisha unalala without...

Acha utoto... timiza wajibu wako weweeeKhaaaah babu!! Hiyo ni abomination!!
![]()
![]()
![]()
![]()
Wajibu gani sasa hapo, mentor sio wajibu wangu.Acha utoto... timiza wajibu wako weweee
Okey ngoja nisubirie basiDuh nimeanza kozi ya "oration' nikiimaliza nitakutengenezea AUDIO BOOKS...!!!
Nashindwa kutambua wewe ni kijana gani ulie na fani ya sayansi ya komputa ambae siku kadhaa ulisema umeambukizwa ukimwi na pia ulikua hujaoa kwa sababu ulikua unamalizia ujana.Mentor never writes from the air...
Mentor never writes from the air...
Duh kwahiyo kina Kongosho na yule kisauti rafiki yake gfsonwin mlitalikiana!??? Hawa kina geniveros si sawa na wajukuu zako kabisa??? saizi yangu kabisa...
In other news: atoto....
Mwalimu snowhite shikamoo tena,
Nakupenda pia! Bado unakwepa kutoa lekcha....
Nashindwa kutambua wewe ni kijana gani ulie na fani ya sayansi ya komputa ambae siku kadhaa ulisema umeambukizwa ukimwi na pia ulikua hujaoa kwa sababu ulikua unamalizia ujana.
We naona ni mtunga stori tuu, kijana kweli toka mwaka 1961??
Unadanganya tu watu hapa. Ile post yako ya mkasa wa ukimwi nahisi kama ulisema una 30 na hujaoa!Age is but a number...! You are as old as you think.
Mnadiskasheni nini hapaAlaah kumbe "hainaga ujukuu..." [HASHTAG]#swadakta[/HASHTAG]
Mh hivi kati yako na Khantwe ni nani ndo hajaanza!?? Usinifanye nianze kufukunyua sredi za nyuma..leo kanisani saa nne!!!
Asante mama kumbe unawafahamu...huyu jamaa kanipa comment ya kunitega kwelikweli!!!
Bikra ndo nini?
