Kazi Nzuri Mentor, ingawa kwa sasa hivi mapenzi Bila kuonjana ni ubwege
Hii topic naomba tuijadili na
Heaven Sent akiwepo.
Ngoja nikujibu kibongobongo and from personal experience.
Unakutana na binti, anakuvutia kwa nje (ni mzuri umbo, tabasamu and all external features) unatamani kumfahamu zaidi.
Mnaanza kuwasiliana lakini uzuri wake wa nje unakufanya utamani tu kuwa naye kitandani ukiamini hilo litakuridhisha. Baada ya kufanikisha hilo unasahau kutaka kumfahamu kiundani (tabia na haiba yake ya ndani) unaishia kuwaza
either kulala naye tena na tena au kutafuta mwingine better (I want that taste syndrome).
ALTERNATIVELY:
Unampata binti amekuvutia kweli kwa nje, mazungumzo yenu ya mwanzo yame-trigger kitu kichwani mwako (she is very smart, ni kama ana word editor kichwani mwake|smart) umetamani kumfahamu zaidi...mmefahamiana..tabia, apendavyo, asivyovipenda, upendavyo na usivyovipenda, mnaendana mko kama marafiki wa zamani...mnaweza kukaa siku nzima mkifanya different activities na ukarudi nyumbani umeridhika kabisa, ana maturity inayotakiwa etc etc etc...
Ukifikia hiyo levo...hata mkigegedana itakuwa tofauti sana na binti unayesema unampenda na mli-do ze needful siku ya pili baada ya kukutana.
NB: There are exceptions to the general rule..lakini GENERALLY hivi ndiyo hivyo huwa!