Nakumbuka: Part II

Nakumbuka: Part II

Yaani sijui unataka kuninyima nini mtoto wa mwanaume mwenzio!!
Huyo nimemuita ili nijue kama ashamkula dota au wanasubiri hadi tumkabidhi rasmi.

Hahahahaha kumbe nawe umekuja kuongez mitego dah!!! Huenda hata aliye-comment wa kwanza aliandika hivo kuna mtu anamtega!!!

Na neno linasema, "Msinyimane endapo mmekubaliana..." |kam zis wei...
 
Hii topic naomba tuijadili na Heaven Sent akiwepo.

Ngoja nikujibu kibongobongo and from personal experience.

Unakutana na binti, anakuvutia kwa nje (ni mzuri umbo, tabasamu and all external features) unatamani kumfahamu zaidi.

Mnaanza kuwasiliana lakini uzuri wake wa nje unakufanya utamani tu kuwa naye kitandani ukiamini hilo litakuridhisha. Baada ya kufanikisha hilo unasahau kutaka kumfahamu kiundani (tabia na haiba yake ya ndani) unaishia kuwaza
either kulala naye tena na tena au kutafuta mwingine better (I want that taste syndrome).

ALTERNATIVELY:

Unampata binti amekuvutia kweli kwa nje, mazungumzo yenu ya mwanzo yame-trigger kitu kichwani mwako (she is very smart, ni kama ana word editor kichwani mwake|smart) umetamani kumfahamu zaidi...mmefahamiana..tabia, apendavyo, asivyovipenda, upendavyo na usivyovipenda, mnaendana mko kama marafiki wa zamani...mnaweza kukaa siku nzima mkifanya different activities na ukarudi nyumbani umeridhika kabisa, ana maturity inayotakiwa etc etc etc...

Ukifikia hiyo levo...hata mkigegedana itakuwa tofauti sana na binti unayesema unampenda na mli-do ze needful siku ya pili baada ya kukutana.

NB: There are exceptions to the general rule..lakini GENERALLY hivi ndiyo hivyo huwa!
Mkifanya lile tendo pendwa mimi naamini Ndio mnaconnect zaidi
 
Situation ya 2 ndivyo ambavyo inatakiwa kuwa. You build a relationship on things that have long term stability. Fear of God, Genuine friendship, Trust, Communication, Forgiveness, Humility, honesty, Mutual Respect, Loyalty, Ability to Compromise etc. "Good, lasting relationship, requires a lot more than just physical intimacy".

Abstinence inakupa chance nzuri ya kumfahamu mtu " as a person", mnakuwa na great and healthy conversation, mnaenjoy kampani ya kila mmoja bila kuwa stressed na complications zinazoletwa na sex. Ni rahisi kutoka from a toxic relationship/ an abusive partner kama hamjawahi kusex, tofauti na mkishasex. Na ndo maana wengi wetu tunang'ang'ania tu mahusiano mabovu, na kuna wakati unaona kabisa hapa hapafai ila kutoka sasa, ndo unashindwa. Sex inatuunganisha na kutufunga nafsi zetu na wale tunaolala nao (sitoongolea leo maana ni somo pana mno).

Kujenga mahusiano kwenye sex ndo kinachotuumiza wengi wetu leo. Focus yetu kubwa ipo kwenye sex, so tunajikuta kuna baadhi ya madhaifu au mambo tunayapotezea badala ya kuyasolve, simply because we are having a great sex na hao wenzi wetu. Tunasex afu ndo tunaanza kuchunguzana (ndani ya mahusiano tayari), ndo unakuja kuona mambo hayako poa ila ukishaingia ndani kutoka ni kazi mnooo. Wengine ndo tunajikuta tumebebana hadi kwenye ndoa, baada ya muda majuto kibao. Sex isiwe centre ya mahusiano, iwe ni "finishing", baada ya mambo mengine yote ya mahusiano kukamilika. Kuonjana ni excuse tu tunayoitumia ili tuzini vizuri. Mtu mna mahusiano miaka 3 na mnasex tena mna ratiba kali kuliko hata wanandoa, huko ni kuonja au kula hadi kuvimbiwa? Lol

Mentor nakurudishia ujumbe na mimi lol.
"Build Your Relationship On The Concrete Foundation of a Spiritual Relationship with God. Pray Together, Pray for Each Other, and then Slay Together

"It's never a blessing if you started by sinning". But again kwa neema ya Mungu, kila kitu kinafanyika kuwa kipyaaa. Tubu kwa kumaanisha, then weka wakfu mahusiano yako
 
Mkifanya lile tendo pendwa mimi naamini Ndio mnaconnect zaidi
Upo sawa na hapo hapo haupo sawa pia.

Upo sawa Kwa sababu hata maandiko yanatwambia sex sio tu kwamba wawili kuwa mwili mmoja, lakini pia inaunganisha nafsi za watu hao wawili. (So kuna physical na spiritual connection hapa). Sasa tujiulize tumelala na watu wangapi, na ilikuwaje tukaachana nao hata baada ya sex. Kumbe sex sio guarantee ya kuwa na lasting connection wala mahusiano bora.

Haupo sawa, Kwa sababu intimacy hailetwi na sex only, inaanzia kwenye ushirika wenu wa matendo, maneno na hisia, lazima kuwe na spiritual and emotional connection. Ndo maana changundoa anaweza akalala na mtu bila kudevelop intimacy naye. Au ni wanandoa wangapi wanasex tu Kwa kuunganisha miili yao ila sio mioyo (hisia) zao? ?? Hujawahi kushangaa mtu yupo ndoani, wanasex daily ila still anakwambia she/he is lonely? Connection na mwenza wake iko wapi hapo? ??

"Sex can be a part of intimate expression, but it's not intimacy"
 
Dota hayo sidhani kama kuna asoyajua maana yanafundishwa sanaaa, sema sasa hii dhambi pendwa inatufanya tujisahaulishe mafundisho na uhalisia, tunajilipua tu na kuitengenezea visingizio ionekane hakuna tatizo. Tena wakati huu ndio mweeeh!

Tumeunganisha nafsi na kuwa na maagano na watu kibao, sidhani kama kuna mtu huwa anakumbuka hata anapoamua its enough now kuvunja hayo maagano!!

Tunajiingilia tuuu mambo yasipowork out tunaanza kutafuta visingizio, kumbe foundation ndio ilikuwa mbovu.
 
Mmh tunavyojuaga kutafuta excuse, eti connection mweee. Mtu yupo ndoani, anasex almost kila siku, anaamka, anashinda na kulala na mwenzi wake ila still anakwambia yupo "lonely", no connection . Mwingine anakwambia anaonja kupima sex compatibility, ila ndo inapimwa ndani ya miaka mitatu, hapo ni kuonja au kula na kuvimbiwa kabisa hehe. Tufanyage tu maana tumeamua kuenenda kwa jinsi ya mwili. Ila hakunaga justification hata

Sasa bi mkubwa kwa hivi tunavyopenda matusi, hizo soul ties na maagano tutavunja saa ngapi? Maana hata katikati ya ule muda tu wa kujitoa kuomba na kuvunja hayo maagano, tutataka tufanye na matusi humo humo khaa. Haya mtu anataka kuoa atavunja hayo maagano saa ngapi, hapo bado ana michepuko miwili pembeni, bado akiwa na ndoa anakwambia cheating ni nature, hivyo vifungo vitaisha lini? ??? Au unavunja kifungo kimoja unaongeza viwili? Mweee

Yani hapo kwenye foundation itabidi tu nikutumie m-pesa kwa ulivyogusa ikulu. Tuna misingi mibovu sana kwenye urafiki/uchumba, tukifika kwenye ndoa tunahangaika tu. Afu mtu spiritually ulishaolewa/kuoa tangu enzi hizo, Leo uje uishi na mtu Mwingine ndoani, si kupatwa kwa ndoa huko? Mungu utuhurumie tu
 
Job true true.
 
@heaen sent na atoto mmegusia jambo zuri sana ambalo kama atoto alivyosema awali, ni mambo ambayo tunayajua.

Swali ni How to manage the abstinance until it is proper time??!

Ukweli wa mambo ni kama alivyoandika kwenye kitabu chake: This waiting is usually harder for the young man than for the girl. Therefore, the girl has to help the young man here, who, because of his natural impetuousness, is more tempted to aim short of the goal. The first help she can give him is to learn how to say 'no' without wounding, how to refuse without breaking off. This is an art.
 
Wakati unakutana na binti (kwa upande wangu) you try to convince yourself kuwa you love her, and for the sake of it, upo tayari kufanya lolote ili kuwa naye. Ila kuna situations mbili naomba mawazo yenu....

From my stories experience kuna aina mbili za wadada.

1. Kuna kina Anitha "Nimeichoka 'Samahani' Yako (sorry is a Sorry Word)"

- Anitha nilimpenda na ninaamini pamoja na niliyomfanyia haikumaanisha sikumpenda. To summarise, aliniambia No sex till marriage na nilikubali kwa kuwa nilimpenda. Na alijitahidi kuniambia NO nilipokuwa namshawishi.

Lakini kwa upande wangu nilitafuta alternatives pembeni...nikahave sex. WHAT WOULD YOU TELL/ADVICE THEM (and me) TO DO WHEN THIS HAPPENS? Cc: Kaunga - and yes if you ask me, I still love Anitha.

2. Kuna kina Arsenal "Nimempata Asiyebadilika..."

- Arsenal nilikutana naye at a point in life where I really wanted to settle and was serious about it. Because of that, Niliamua mwenyewe bila kushawishiwa wala kuambiwa naye kutokumgusa hadi ndoa.

Matokeo yake aliishia kupewa mimba na mwanaume mwingine. (nadhani mpwa Elli ana ushuhuda unaoumiza zaidi yangu). Situation kama hii inakufanya kila anayefuata uogope kufanya maamuzi ya kuwa 'a nice guy' believing it doesn't work and ladies don't fancy this no more. HOW DO YOU ADVICE SUCH A YOUNG MAN???
 
Mentor nitajitahidi kuja kesho kuchangia hii maana inanigusa maana nalea vijana ambao wamechipukia na namshukuru Mungu pamoja na kuwa mama yao mdogo wanakuja kunieleza juu ya mahusiano yao. Kifupi ni kwamba hakuna jibu la moja kwa moja au jibu sahihi. Na mara nyingi haliwezi fanya kazi kwa watu wote wakati wote. Na hata mshauri wa mambo ya ndoa mkubwa unayemfahamu naye ana matatizo ktk ndoa yake. Hivyo hakuna jibu kamala hesabu. Maisha hayako fair, na mahusiano hayako fair zaidi. Binadamu hawezi kuwa mkamilifu, hivyo kama hakuna kuchukuliana mizigo hakuna mahusiano kamwe. Be content, jiamini na muamini Mungu na mpende mwenzio. Amini Mungu kuruhusu chochote kutokea ktk maisha yako, anajua you can handle it na amekupa enough grace to take uou through. Majaribu LAZIMA YAJE. Tafuta wimbo wa The Martins ...This is the promise.
 
Kuonja ni wajibu sio baada ya ndoa unakuta wife ana bwawa la kuogelea na wewe na bamia yako nyumba ndogo zitahusika kutafuta Wa kuridhisha na kulinda ndoa
 
I never said that I would give you silver or gold
Or that you would never feel the fire or shiver in the cold
But I did say you'd never walk through this world alone
(Hmm)
And I did say, don't make this world your home1

I never said that fear wouldn't find you in the night
Or that loneliness was something you'd never have to fight
But I did say I'd be right there by your side
And I did say I'll always help you fight

'Cause you know I made a promise that I intend to keep
My grace will be sufficient in every time of need
And my love will be the anchor that you can hold onto
This is the promise, this is the promise I made to you

I never said that friends would never turn their backs on you
Or that the world around you wouldn't see you as a fool
But I did say like me you'll surely be despised
And I did say my ways confound the wise

I didn't say you'd never taste the bitter kiss of death
Or have to walk through chilly Jordan to enter into rest
But I did say I'd be waiting right on the other side
(Yeah, yeah)
And I did say I'll dry every tear you cry

'Cause you know I made a promise that I've prepared a place
And some day sooner than you think you'll see me face to face
And you'll sing with the angels and a countless multitude
This is the promise, this is the promise I've made to you

So just keep on walkin', don't turn to the left or right
And in the midst of darkness, let this be your light
That hell can't separate us and you're gonna make it through
This is the promise, this is the promise I made to you

Read more: The Martins - The Promise Lyrics | MetroLyrics
 
Kuonja ni wajibu sio baada ya ndoa unakuta wife ana bwawa la kuogelea na wewe na bamia yako nyumba ndogo zitahusika kutafuta Wa kuridhisha na kulinda ndoa

Ulilolisema ni sahihi sana...lakini tatizo linakuja 'utaonja ngapi kujua compatibility'?

Au fikiria huyu binti ni bikra...je, itakupa ukweli juu ya ukubwa/udogo wake?

Haya kuna wale wanaotumia bidhaa za mchina...je, itakusaidia nini?

Mimi nadhani kuna mtu wa kila mtu...the weak for the weak na inawezekana kufahamu kwa kuongea tu (being honest)....
 
Hata wawe mia kuonja must.
Unapokuwa kwenye uhusiano lazima muende sawa sawia other ways mtakuwa mnadanganyana... Haja za kimwili zina nguvu sana akikunyima ati usubiri am sure anamtu huyo au wewe utatafuta pa kukutuliza na hasara ni kwake... Na wewe unavyosumbuliwa naye kisa unampenda siku akikupa hutaenjoy kivile maana love haina hisia za kusubiri... Na mtindo huo umewafanya wasichana wawe wezi anataka umuhudumie kisa unampenda na hakupi papuchi na hafikirii kuwa mwili wako unahitaji kipunguza joto huku na yeye anacho maana wao wakipenda huwapa wawapendao asikuambie mtu mwanamke asipokupenda hata ufanye nini hakupi papuchi yake mwoneshe mapenzi yote lakini wapi.. Ila akikwama apendapo lazima akutafute.. Na ndio yaliyokukuta wewe Mental trust me...
 
Naogopa kujibu kwa niaba yao.

Lakini tuongelee upande ambao mimi naufahamu zaidi.

Sarting a relationship from the sex angle. Unadhani compatibility in bed ni muhimu zaidi ya compatibility elsewhere?

au niiweke hivi...unadhani ni compatibility ipi inatakiwa ianze kuangaliwa kwanza?

Kwa sababu kwa mawazo yangu: ukianza na sex hamu ya kutaka kuendelea kumjua huyo binti inaisha

- either, yuko vizuri kitandani so all you think about her (baada ya first sex) ni more sex, more sex, and more sex please...unasahau kumfahamu katika other areas.

- au, yuko so poor...hutamani kumfahamu, unamkinai, you go looking for the next taste.

Halafu naomba niombe msaada wa the men in here I believe are wise and can share with us experience zao: BAK, The Boss, Nyani Ngabu, mshana jr , Mtambuzi, Paulo Sergio De Souz kwa kuanzia...thanks in advance!
 
Sex ni kipimo cha hali ya juu katika uhusiano zaidi ya hapo ni urafiki tu Wa kawaida au kidhati... Maana msipo sex means anakuwa anatoa nafasi kwa mwingine yeyote endapo utachemsha ila mkisha sex unakuwa amekukubali kabisa kwako na wewe ukikinai ndio wao huumia na wengine husema kabisa kwa kutoa maonyo usijekumuumiza... Kwani utakacho anakupa ... Kwa kukinai inadepend na hali yake asikuambie mtu usiporidhika kwenye sex hutataka kuendelea nae ni jambo la kufahamu mapema kabla hamjajuana wengine.. Kwani maisha yetu yanafanana tu wanaume tuna tabia same na wanawake vilevile na hata kama yupo tofauti kwenye kitchen party atawekwa sawa afanane na watz..

Sex ndio kipimo and then tabia baadae
 
Duh Dark City na snowhite msaada kwenye tuta!!!
 
Back
Top Bottom