Nakumbuka jinsi JK alivyonichekesha

Nakumbuka jinsi JK alivyonichekesha

siku aliyosema ataifanya kigoma kuwa Dubai na Mwanza kuwa Califonia sjui .....aaah skuwa na mbavu..:eyebrows:
 
Nlicheka sana aliposema list ya wauza madawa ya kulevya anayo na anawajua ! Ila anawapa muda waache !
 
Huwa nnacheka mpaka naruka ruka anapokuwa anaendesha nchi kwa unajimu wa Sheikh yahya.huwa nachekaaaaaaaa yaani sina president ngoja nichekee uuwiiiiiíiíi na amekufa.
 
hata mimi nnacheka pale aliposema kua wanafunzi wanaopata mimba ni viherehere vyao!

asa hapo ndugu umemwonea ulitaka akawafunge miguu wasiende kuchanua na kupata mimba?me naona kweli ni viherehere vyao vinawaponza,me nilikaa hadi nkamaliza shule ndipo nkaanza kufanya kitendo cha kuweza kunipa mimba.
 
Alipolia kwamba afadhali slaa awe raisi kuliko lisu kuwa mbunge!! Hahaha washa tu chalii yangu
 
Siku ya 5/2/2011,ilikua siku ambapo CCM ilitimiza miaka 34.
Katika hotuba yake mwenyekiti ccm taifa alisema mengi likiwemo la kujivua gamba. Alipoanza kuzungumzia umeme alichekesha aliposema matatizo ya umeme yanasababishwa na kupungua kwa maji katika bwawa la mtera na yeye wala serikali si watu wanaotakiwa kulaumiwa, akasema URAIS SIYO WINGU angekuwa wingu angeenda mtera akanyeeeeeeesha bwawa likajaa watanzania wakapata umeme.
Huyu ndo ****** mzee wa pwani..na hayo ndo majibu yake siku zote,usitegemee kitu tofauti kutoka kwa huyu mcheza bao..
 
Ananifushahisha na press conference zake za kujipangia maswali ya kuulizwa na bado yanamgonga!
 
Huyu ndiye 'muungwana' tuliyempa kazi ya kuendesha nchi! Hata hajui kwanini waTZ ni maskini
 
huwa. nacheka sana wananchi wanalalamika na yye analalamika pia
 
Mie nilicheka aliposema kuwa miaka mitano alikuwa anajifunza kazi ya urais na sasa amehitimu ndiyo aifanye sasa
 
Nilicheka sana na kuchoshwa pale alipojifanya kuzungumza na watoto wadogo dar salaam na kujiandalia maswali ya kuulizwa, watoto woote waliandiki wa maswali ya kumuuliza raiisi, nae akawa na majibu ya maswali kabisaa, angeulizwa tu nje ya maswali yale naona angeakuka chini
 
Mimi alinisikitisha sana pindi mabom yalipotokea mbagala badala ya kutafuta muafaka wa wahanga akaenda iver cost kusuluhisha
 
Mimi alinichekesha aliposema walimu hawastahili kuwasilisha malalamiko yao kwa kuandamana la sivyo watakiona cha moto(FFU) na huku anajipongeza serikali yake imejenga shule ktk kila kata,sasa akiwauwa walimu shule atafundisha nani?
 
Jamani ukweli ni kuwa hatuna rais......................
 
Back
Top Bottom