Nakula ung'eng'e wa afande mwenzangu

Nakula ung'eng'e wa afande mwenzangu

Polisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
2,082
Reaction score
643
Yupo na Simbeye TBC1 kwenye kipindi cha 'This week in Perspective'.
Mwanzoni nilimsikia akisema
'Last year TWO AND TWELVE'. Nikadhani nimesikia vibaya . Kaniacha hoi tena baada ya kusema 'Was introduced by THE Kamanda mpinga'
Chezea polisi wewe!
 
Mpinga kakacha huo mdahalo. Kamwachia huyu ndo ana nafuu nafuu. Namwonea huruma, bahati wenzetu huwa hawakatai wakitumwa na mkubwa

Ha ha ha. Mi ningejitetea kuwa naharisha.
 
Yule mzee nae anapenda masifa na mkipindi wake!cjui hawa tbc wanaweka kidhungu ujumbe umfikie nan!!!
 
Amepatia kwenye maana yake,labda msikilizaji hakumuelewa wala kuelewa alicho kuwa akimaanisha.
 
kwa level ya mapolisi ameperform vizuri sana !
Kova njoo huku kuna mchochezi!

Thubutu, apate wapi huo muda. Sasa hivi anawaza jinsi ya kuitekeleza ahadi yake ya jana, si umesikia mkwara wa shekhe Ponda?
 
Sipati picha kiinglishi cha Mulugo na Kova sasa ndio wangekuwa wamealikwa......hahahahaaaa sorry kumbe Kova yumo humu anatafuta wachochezi......hivi hiii iko kwenye JD yake kweli au ndio extra curricula activities????
 
Sipati picha kiinglishi cha Mulugo na Kova sasa ndio wangekuwa wamealikwa......hahahahaaaa sorry kumbe Kova yumo humu anatafuta wachochezi......hivi hiii iko kwenye JD yake kweli au ndio extra curricula activities????

Huwa nikisikia mulugo nasikia kichefuchefu. Waziri wa elimu? Anakuwa mweupe hivyo? Pole nchi yangu tanzania
 
Wenzetu Kenya wako Vizuri kwa Kidhungu sisi hatutaki hata kujifunza.
 
Wenzetu Kenya wako Vizuri kwa Kidhungu sisi hatutaki hata kujifunza.

Tuna matatizo mengi sana na makubwa na sidhani kama kizungu ni priority. Hata wa china wengi hawajui kizungu wala kiswahili . Kitu muhimu ni kama umemuelewa na amekuelewa . Otherwise tafuta mdahalo wa lugha
 
Kukosea kuongea kuongea kiingereza haimaanish kuwa wewe haupo vizur kitaaluma,...ni lugha kama lugha zingne tusiwe wavivu wa kufikir pengne we unaekosoa hata mombo kwako hakuna.
 
ikiwa mada ya kiswahili halafu akasema 'yeye ndiye aliye introduce...' bado mngesema hajui kiswahili?
 
Kabla ya kuangalia kibanzi katika jicho la mwenzako angalia boriti jichoni mwako.
 
Back
Top Bottom