FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,067
- 40,730
Kikubwa na cha msingi, crane liko wapi jamani?!
Sasa wanakodi kutoka nchi gani?itakuwa machine kama hii
View attachment 2113773
Aitoe nani? Na wala hakuna tasrifa yoyote ya uchunguzi wa jinsi ilivyotumbukia baharini.Hiyo crane iliyozama baharini imeshatolewa.?
Dah bc WaTz tumelogwaAitoe nani? Na wala hakuna tasrifa yoyote ya uchunguzi wa jinsi ilivyotumbukia baharini.
Kiufupi hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa kwa yeyote.
Matapeli ndivyo walivyo., uongo uongo na ujanja ujanja.Hahah, nikiikumbuka hii ishu ya crane la tani 26 nacheka sana
Kichwani ni watupu kabisa, ni kubebwa bebwa tu ndio kunatupoteza kama taifa, jitu hopeless kabisa, kazi kubebwa bebwa tu..Matapeli ndivyo walivyo., uongo uongo na ujanja ujanja.