Nakukemea Freeman Mbowe

Huna adabu..unahisi Mbowe ndiye aliyemshikilia Mdude? Lisu kashikiliwa na serikali kwani uliwahi kumsikia Samia akikemea popote?
 
Ili akianza kusemasema, mseme anaitaka saccos yake?
Aligombea mkamkataa acheni apumzike kwani Lissu hajiwezi hadi Mbowe awe anasemasema?
 
Mwacheni mzee wa watu apumzike. Mnataka msaliti na kibaraka wa CCM afanye nini? Mmemuita kila majina leo mnataka neno kwake.
 
Kiongozi mstaafu unaona chama na viongozi wake wanashambuliwa kila kona halafu wewe unakaa kimya!. Hii ni roho mbaya na ukosefu wa uchungu kwa chama.
Huenda Mbowe anajipenda yeye zaidi kuliko CHADEMA.
 
Najuta kukupinga
Umesahau kusema alifurahia kifo Cha Jiwe!!
Laana inatafuna
 
Kwa vyovyote vile Mbowe alipaswa kujitokeza hadharani na kuongea neno ikiwa na pamoja na msimamo wake kwenye uchaguzi huu.
 
Ha
Kiongozi mstaafu unaona chama na viongozi wake wanashambuliwa kila kona halafu wewe unakaa kimya!. Hii ni roho mbaya na ukosefu wa uchungu kwa chama.
Huenda Mbowe anajipenda yeye zaidi kuliko CHADEMA.
Hapana. Dozi ya matusi mliyompa inamtosha, mwacheni aheal kwanza. Wakati mnahemukwa pamoja na wana diaspora kwa kila kebehi na matusi hamkujua kuwa mngemhitaji? Unataka aseme kitu halafu muanze kumshambulia tena? Hapana aisee. Kama atatafsirika kuwa ana chuki, acha iwe hivyo. Hamna shukrani ninyi.
 
Mwanasiasa gani anaogopa spana?.

Kama anaogopa spana namna hii alipogombea urais mwaka 2005 alifikiria ukiwa rais ni lelemama?
 
Kumbe mlikuwa mnatania, yeye kamaanisha sasa. Acheni kumlaumu. Mlimframe Lissu kama suluhisho la kila tatizo la Chadema. Haya yupo ofisini, msaidieni kama mlivyomsaidia wakati wa kampeni zenu chafu. By the way Maria Sarungi yuko wapi?

Lissu yuko jela

Halafu Mbowe bado ni kiongozi wa chama kwa nafasi ya kamati kuu kama mjumbe wa kudumu, bado ana role ya kuplay kwa mujibu wa katiba ya chadema.

Analo jukumu la kukilinda na kukipigania chama
 
wewe ni zaidi ya mwehu;

Kwani CHADEMA ni Mbowe? Wakati mnasema Mbowe mzee astaafu, unaelewa,maana ya kustaafu?

Mbowe jela ametoka kwa, juhudi zake sio nyinyi mashabiki wa mtandaoni? Mliwahi juandamana Mbowe atoke jela?

Mbowe alisema wazi akishindwa uchaguzi anaenda kwenye biashara zake.

Mjitumbukize kwenye natatizo na dola hakafu mje kumlilia Mbowe awasaidie kwani ndiye akiyewatuma?

Mwana kulitafuta mwana kulipata.

Umkome, nyie juzi tu mlikuwa mnamdhalilisha
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…