Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,399
- 2,601
ni wazi kusahau ni kitu mbaya sana.Umekuwa mwenyekiti wa Chadema kwa miaka 20 na ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya Chadema lakini hukuwahi kuipenda Chadema kabisa hili limegundulika.
Haiwezekani mwenyekiti wa chama ulichokiongoza kwa zaidi ya miaka 20 Tundu Lisu anakamatwa na kuwekwa ndani lakini wewe unakaa kimya.
Haiwezekani Chadema uliyoikuza na kuiongoza kwa miaka 20 wanachama wake kama Mdude wwanatekwa na kupotezwa lakini wewe uko kimya. Wewe Freeman Mbowe uliposhitakiwa kwa kufanya ugaidi na kutaka kumuuwa Sabaya na viongozi wengine wa serikali, wanachadema wote walikupigania akiwemo Tundu Lisu lakini wewe uko kimya hupiganii chochote.
Mbowe anatakiwa atoe neno, mtu mzima anasusani wazi kusahau ni kitu mbaya sana.
Alie kua anapinga maridhiano alikua akitamani Freeman Aikael Mbowe aendelee kusota korokoroni wakati ule, sio ndio huyu mwenyekiti wa Chadema sasa hivi ndugu zangu wadau?
Lakini hiyo haikutosha,
pamoja na fadhila zote za Mbowe mathalani za chakula alizomkirimia mwenyekiti wa Chadema Taifa wa sasa, bado Mbowe aliishia kutwezwa utu wake na familia yake, kuitwa mlamba asali, kuitwa mla rushwa na kiongozi huyu huyu mpya wa Chadema. Na mara zote Mbowe alikaa kimya tu.
Haya,
kulikoni tena leo mayowe na makelele dhidi ya Mbowe hali ya kua anaendelea na shughuli zake biashara zake kimya kimya? Na wengine si waendelee na mambo yao ya uongozi wa chama kwa uhuru wajemeni?
Si alidai mbowe kamtuma wenje apambane nae umakamu mwenyekiti wa Chadema Taifa?
Si amepata uenyekiti wa chadema Taifa? Si aendelee na kazi sasa bila kua na chuki binafsi dhidi ya wengine?
Si kila mtu afanye kazi yake bila kusumbua mwingine gentleman?🐒
Mbowe hana uchungu wowote na ChademaKwa hiyo nyinyi watoto mnaipenda na mna uchungu na Chadema kuliko Mbowe?
Mbowe aliishamshauri Lisu kwamba,Mbowe anatakiwa atoe neno, mtu mzima anasusa
Mbowe anatakiwa aite waandishi wa habari akemee utekaji wa ChademaMbowe aliishamshauri Lisu kwamba,
kulingana na changamoto ya utimamu wa mwili wake, aombe kuhamishiwa gereza la ukonga kutoka keko ambalo ni favorable zaidi kwa hali yake na akafanikiwa,
Je,
kuna ukarimu zaidi ya huo kweli ndrugu zango?
Mambo mengine, Lisu mwenyewe amedai atafanya mwenyewe haihitaji ushauri wala kuonewa huruma 🐒
Mbowe teethUmekuwa mwenyekiti wa Chadema kwa miaka 20 na ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya Chadema lakini hukuwahi kuipenda Chadema kabisa hili limegundulika.
Haiwezekani mwenyekiti wa chama ulichokiongoza kwa zaidi ya miaka 20 Tundu Lisu anakamatwa na kuwekwa ndani lakini wewe unakaa kimya.
Haiwezekani Chadema uliyoikuza na kuiongoza kwa miaka 20 wanachama wake kama Mdude wwanatekwa na kupotezwa lakini wewe uko kimya. Wewe Freeman Mbowe uliposhitakiwa kwa kufanya ugaidi na kutaka kumuuwa Sabaya na viongozi wengine wa serikali, wanachadema wote walikupigania akiwemo Tundu Lisu lakini wewe uko kimya hupiganii chochote.
Gentleman,Mbowe anatakiwa aite waandishi wa habari akemee utekaji wa Chadema
Ninavyoijua mifuasi ya chadema chakavu ilivyo mizuzu na yenye mihemko, mbowe akitia neno tu basi atatupiwa maneno mengi zaidi. Hapo tayari inamshutumu kwa mambo kibao tu ikiwemo hata kuhusika kuwateka hao kina mdude. Bora mbowe aendelee kujikalia kimya.Umekuwa mwenyekiti wa Chadema kwa miaka 20 na ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya Chadema lakini hukuwahi kuipenda Chadema kabisa hili limegundulika.
Haiwezekani mwenyekiti wa chama ulichokiongoza kwa zaidi ya miaka 20 Tundu Lisu anakamatwa na kuwekwa ndani lakini wewe unakaa kimya.
Haiwezekani Chadema uliyoikuza na kuiongoza kwa miaka 20 wanachama wake kama Mdude wwanatekwa na kupotezwa lakini wewe uko kimya. Wewe Freeman Mbowe uliposhitakiwa kwa kufanya ugaidi na kutaka kumuuwa Sabaya na viongozi wengine wa serikali, wanachadema wote walikupigania akiwemo Tundu Lisu lakini wewe uko kimya hupiganii chochote.
Mngetaka atoe neno mngemchagua. Kwani wakati Mbowe anaongoza Chadema Mzee Mtei aliwahi kutoa neno?Mbowe anatakiwa atoe neno, mtu mzima anasusa
Lissu amemtaja aliyetaka kumuua zaidi ya mara 100, wewe bado tu unaleta chuki kwa FAM?Mzee wa watu kapumzika lakini bado mnamlilia. Mmebaki yatima eeh?Ila mbowe ni mnaa hatari! Huenda hata shambulizi la Lisu alihusika