juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,480
Atatoa tu huyo hata asitusumbue hapaHuyo ni baba wa mwanao mwache alale mtoto afurahi,we jiandae na penzi utoe vizuri tu usilete kisirani chako hapa.
Atatoa tu huyo hata asitusumbue hapaHuyo ni baba wa mwanao mwache alale mtoto afurahi,we jiandae na penzi utoe vizuri tu usilete kisirani chako hapa.
Weee niseme nina akili za kitoto ila ukweli ndio huo,wewe utapakuliwa tuuu iwe isiwe,dalili zipo wazi tu kwamba leo utaliwa tu
Kumbe unampenda sasa. MTU usompenda umlindie heshima??? Kwa lipi hasa?????Hapo umenena sasa
Tuko mkoa mmoja,ngonja nifanyie kazi ushauri wako.
Tatizo mama yangu mdogo yuko na hajui hii,situation,si wajua wazaz walivyo na sikuwah washirikisha kuwa jamaa halei mwanae,nilikuwa namtunzia heshima.so leo nikifanya scene itakuwa kama igizo kwao.
Barikiwa sana.
Yan MTU anaomba ushauri, wakimshauri mazuri et mtoto alale na nan. Kwan ck zote analala na nani???mnhhh naona unatafuta sababu tu
mwisho utalala nae
na yeye anajua ndo maana kapiga simu kukupa amri
Leo niko kazini napokea call kwenye no ngeni,akajitambulisha,then akanambia,nakuja mwona mwanangu na ntalala hapo.
We una leta masihara kweli unaijua "POWER OF LOVE" ok,. una weza usinielewe., ngoja tusubiri marejesho. Ila kwa kukudokeza tu kile kitendo cha kubadilisha no. then kumkwepa huko kote ni kujihami. Je unajua siri ya mtu kujihami?, in short huyo Dada ana mpenda Huyo jamaa na hicho ndicho kinacho mpa kiburi huyo jamaa, la si hivo! angeanzia wapi kwanza?HIVYO NI VITISHO, UBABE WA KIPUUZI. MAKE ADVANCE REPORTING TO THE POLICE KUWA KUNA MTU ANATAKA KUJA KUNIFANYIA FUJO, (CRIMINAL TRESS PASS), THEN AKIJA WAITE KUWAKUMBUSHIA. USIMUENDEKEZE UNLESS YOU ARE STILL INTERESTED IN HIM.
Mwandiko wako una kila rangi inayo kukwatua kila umuaonapo huyo mzazi mwenzio aiseeee...
Kwa uzoefu wangu wa ubazazi nachelea kusema kwamba huyo mzazi mwenzio bado unampenda sana na wala hau hemi kila umuonapo mtima wako huku pasuka[emoji1]
Ebu ngoja nijinyamazie mei maana naogopa kusema kwamba tutarajie uzi wa mwisho kwamba (ULIUMIZWA NA MZAZI MWENZIO, NASASA UMEAMUA KURUDIANA NAE)[emoji12]
Pia ktk kusukumana sukumana kuna ile mmoja wao kwa bahati mbaya kumdondokea mtoto na kumvunja viungo,inafikia hata watoto kufa ktk accident za magomvi ya wazazi,nakushauri acha hizo lite unazokunywa nenda home kashauriane na mamdogo wako namna yakumwambia huyo jamaa..we hapo unakunywa lite kwa ajili yakwenda kumpa shit yeye yupo somewhere anakunywa konyagi changanya na serengeti ili kupata ujasiri wakukuomba mashine.think positive.Kuna uwezekano mkubwa hiyo lite ikasababisha jamaa akatimiza azma yake.
Atakula pia mzigo kwa ajili ya baby boy na c wewe.Ni kwa ajili ya my baby boy na si yeye.
Yan MTU anaomba ushauri, wakimshauri mazuri et mtoto alale na nan. Kwan ck zote analala na nani???