Nakuja Dar, wanaJF mliopo Dar mnipokee

.

Screenshot_20211223-202115_Chrome.jpg
 
Unaenda zenji kununua ardhi ama?..hujui kuwa kule watanganyika hawataki kutuona..tukimiliki ardhi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkuu unakuja na gari gani na muundo wako ukoje mnene au mwembamba nitakuwa shekilango nakusubiri njoo in box tatadhali.
 
Ukikaribia Mbezi bus terminal nijuze ili nimwagize mtu akufate akulete upumzike hapa home naishi Kinyerezi ni dakika chache hadi hapo Mbezi.

Njoo pm nikupe mawasiliano.
 
Kufahamiana jambo jema so karibu nyumbani upumzike kabla ya kuendelea na safari yako.
 
Back
Top Bottom