Nakufa kwa presha mwenzenu

Nakufa kwa presha mwenzenu

Tofauti na mama,baba na kaka zangu, wengine wote waliobaki nikipinga simu asipokee, asiponipingia,au kunibipu wala kutuma plz call me au sms

sitompingia sim maisha yangu yote, na ikipita wiki moja hajafanya hivyo nafuta namba yake.
Na wewe ukifanya ivoooo...upotezewe kama kawa!!!
 
 
Last edited by a moderator:
Achana na baba ,mama,kaka,dada, na ndugu wengine wa damu . hii ni siku ya kujua ukweli wa mahusiano yenu.
 
Ukifa kwa presha si ajabu hata kwenye msiba wako hatakaja.Furahi na yuke anayekupa furaha.Kama anakufanyia hivyo ujue yeye yupo busy anahudumiwa fanya ujiondoe kwenye huo msafara
 
Niliacha kusherekea valentine miaka 4 iliyopita na niko happy sina stress ikifikaga hii siku

Chapa lapa huyo kashajibebisha kwa ampendaye
 
masaa mangapi yamepita tangu uanze kumpigia, acha kujipa presha unawaza kusalitiwa tu, kama kapata matatizo mengine huko. aliwazalo mjinga.......................

katika komenti zako nyingi nakwona upo chanya kimtizamo mkuu,safi sana.
 
Back
Top Bottom