Nakufa kwa presha mwenzenu

Nakufa kwa presha mwenzenu

Kunywa sumu ya panya ujirestishe in pisi.. Kwanini akutendee haya kipindi hiki cha Valentine..?
 
Ukiona hivyo ujue wewe ni mpango wa pembeni, yupo na mpango wa kati!!!
 
mapenzi ya kibongo bongo kesho ndo utajijua we ni nani kwake...
ukiona anaanzisha kimnuno cha kijinga jinga bila sababu akili kumkichwa!!!!
 
Mnh ndio ukome,ukute ulikuwa humjali siku zote,valentine ndio unajileta leta....na yeye kaamua kukulia bati...
 
Kilaa cku unatakiwa kumpenda mwenzako hyoo cjui valentine day n miyeyusho tu
 
Dawa ni hii hapa katika siku hii ya wapendanao.

Usisumbue kichwa chako:

Kitanzi.jpg
 
Sasa michepuko ndiyo itajulikana ndiyo kuu zimekaba.
 
Utakuwa umemuudhi, jamani wanawake wenzangu wanaume wanamaudhi. Du. Acheni tu.
 
Simu yake itakuwa imeshia moto labda. Vumilia atapokea au kukutafuta baadae. usiumize sana kichwa, kama unamegewa na wewe tafuta mnyonge ummegee.
 
Tamalisa
Tofauti na mama,baba na kaka zangu, wengine wote waliobaki nikipinga simu asipokee, asiponipingia,au kunibipu wala kutuma please call me au sms sitompingia simu maisha yangu yote, na ikipita wiki moja hajafanya hivyo nafuta namba yake.
 
Last edited by a moderator:
wengine tumeliwa bati tangu krismasi na hatujafa wewe umeliwa bati ya valentine unataka kufa....!!!!
R.I.P in Advance
 
Back
Top Bottom