Nakufa baada ya masaa 12, nifanye nini?

Mto_Ngono

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
686
589
Naamini watu wengi hawaogopi kifo bali huogopa kutangulia. Kifo kipo ili watu wasijae duniani wakakosa nafasi ya makazi, ndo maana wafa na wengine wazaliwa. Ubaya wakutangulia ni kwamba unaviacha vitu vizuri sana duniani.

Hivi ukijua unakufa baada ya masaa 12 kuanzia sasa ni nini ungefanya cha mwisho kuridhisha nafsi yako! Mimi ningepoteza mawazo kwa kugegeda masaa yaliyobaki kuondoa stress.
 
ningesali na kupiga story na mwanangu
Mkuu mwanao anaumri gani!? Na je utapiga nae story gani!? Utamwambia any of this!? Kwa style gani!? Kwa mlengo gani!? Wat if usipomwambia na akaja kujua kua ulikua na nafas ya kumwambia and u didnt!? [HASHTAG]#Assumptions[/HASHTAG]
 
ana mwaka mmoja , kama mama siwezi mwambia vitu vya kumuumiza sitamwambia kama namwacha, nitamweleza mambo mengi mazuri duniani ya kufanya japo hata nielewa ila atasikia ,najua akija kuwa mzazi na yeye atajua kwa nini mama hakuniambia kuwa namwacha
 
This is just so great! Mkuu unamawazo mapana sana! Bigup
 
Back
Top Bottom