Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,143
- 18,774
Kwa kifupi wanataka katika mazingira fulani waendeshe wao ile bandari, na kukusanya mapato yote wala TRA wasiguse pale. Pia wanataka ukanda mkubwa zaidi wa kuwekeza pale, wajenge majengo yao ya kuishi na biashara na maofisi.Embu mtusaidie mashaart ya kwenye huo mkataba yakoje mpaka sasa nasikia tu Zitto, Spika mara serikali mara mkokoteni
Kweli Mkuu, we must give the devil his dueHUU UPUUZI UMETOKANA NA AWAMU YA 4
Sasa jambo ambalo wewe hujui au kwa kuwa tu hujaona huo ushahidi halifanyi liwe porojo. Huo ni uwezo mdogo wa kufikiri. Mikataba mingapi unafahamu masharti yake? Hata Wabunge walikataliwa kuiona.Kutaka kuaminisha uma kwamba mkataba ni mbovu bila kuweka masharti mabovu ya huo mkataba nadhani ni porojo na ushabiki usio na kichwa wala miguu. Wasomi hupinga kwa hoja zenye ushahidi na siyo ambacho wewe unakifanya hapa. Huitendei haki taaluma yako pamoja na pesa ya karo ya waliokusomesha.
Kwanza nikupongeze wewe na mleta UZI kwa ufafanuzi wa hi kitu; hata mimi naungana na nyie kumpongeza mhe rais kuhusiana na hili la bandari ya Bagamoyo; nchi ilikua inauzwa jumla. Kuna kitu kimoja tu Watanzania nadhani tujitafakari, tumekua wasahaulifu mno, hili jambo lilijadiriwa hata humu wakati ule wa Mkwere/JK na hope ndio sababu hata JK mwenyewe alikua anasita sita kusaini mkataba. Big up sana mhe No kwa hili, kuna mengne mengi siyaungi mkono but kwa hili, big YES.Kwa kifupi wanataka katika mazingira fulani waendeshe wao ile bandari, na kukusanya mapato yote wala TRA wasiguse pale. Pia wanataka ukanda mkubwa zaidi wa kuwekeza pale, wajenge majengo yao ya kuishi na biashara na maofisi. Pia wanataka wawekezaji wa lile eneo wawe wanawaruhusu wao pamoja na nani akubaliwe nani akataliwe kuwekeza lile eneo. Yote hayo wafanye hadi fedha yao irudi, bila kuingiliwa. Na pia wanataka ile iwe ndio bandari kuu pekee Tanzania, iwe marufuku kuziendeleza bandari za Tanga, Mtwara na hata Zanzibar ikiwezekana. Kwa kifupi, lile eneo liwe "Small China country".
Sasa niambie Raisi gani mwenye akili atakubali vitu kama hivyo? Halafu kina Ndugai na Bunge lake dhaifu wanasema afadhali tuache SGR waChina watujengee bandari - kwa masharti hayo?
Hao Watanzania unaotaka kuwatetea hapa kwamba wako makini wana historia ndefu ya kukataa mambo mengi sana yenye faida kubwa kiuchumi kwao kwa kujificha chini ya kivuli cha uzalendo. Hili la Bagamoyo SEZ halitakuwa la kwanza wala la mwisho. Ningekuona muungwana kama ungesema tuombe Serikali itoe sababu za msingi kwanini imekataa kuendelea na mradi mkubwa namna hii. Spika wa Bunge ameongea kiuungwana sana kwa kusema anaomba Serikali itoe maelezo zaidi kwasababu yenyewe ndiyo inafahamu zaidi kuliko Bunge. Sasa wewe unaposema mkataba ni mbovu na Jakaya anatakiwa kufungwa kwa uhaini, unataka watu wazima tukueleweje ?Na unafikiri kwamba Watanzania ni wajinga kiasi hicho wakatae tu kitu chenye faida kwao kwa sababu za kilevi tu au uendawazimu fulani? Au unafikiri Magufuli amekataa bandari kujengwa Bagamoyo kwa kuwa anataka ikajengwe Chato kama ile International Airport?
Mkuu, soma post zangu utaona mie nampinga na kumkosoa sana Magufuli kwa mambo mengi hadi nimeonywa ninatafutwa na Wasiojulikana, lakini sio hili. Kuna mikataba mingi sana ilisainiwa wakati wa Kikwete ambayo ukiangalia dondoo za makubaliano unaweza ukaililia Tanzania, kutia ndani na ule wa SGR na Wachina ambao uliopolewa ukiwa karibu kuanza kupikwa. Sasa huu wa Bandari ni mbaya hata zaidi, unakufanya ujiulize, hivi hawa kina Chenge walikuwa wanatumia akili kweli? Ni uhaini mtupu.Hao Watanzania unaotaka kuwatetea hapa kwamba wako makini wana historia ndefu ya kukataa mambo mengi sana yenye faida kubwa kiuchumi kwao kwa kujificha chini ya kivuli cha uzalendo. Hili la Bagamoyo SEZ halitakuwa la kwanza wala la mwisho. Ningekuona muungwana kama ungesema tuombe Serikali itoe sababu za msingi kwanini imekataa kuendelea na mradi mkubwa namna hii. Spika wa Bunge ameongea kiuungwana sana kwa kusema anaomba Serikali itoe maelezo zaidi kwasababu yenyewe ndiyo inafahamu zaidi kuliko Bunge. Sasa wewe unaposema mkataba ni mbovu na Jakaya anatakiwa kufungwa kwa uhaini, unataka watu wazima tukueleweje ?
Eight countries in danger of falling into China’s “debt trap”
Quartz is a guide to the new global economy for people in business who are excited by change. We cover business, economics, markets, finance, technology, science, design, and fashion.qz.com
Last year, with more than $1 billion in debt to China, Sri Lanka handed over a port to companies owned by the Chinese government. Now Djibouti, home to the US military’s main base in Africa, looks about to cede control of another key port to a Beijing-linked company, and the US is not happy about it.
Last Tuesday in Beijing, the Malaysian prime minister, Mahathir Mohamad, announced that his country was canceling two multibillion-dollar Chinese projects because Malaysia can’t repay its debts. “We do not want a situation where there is a new version of colonialism,” Malaysia’s leader told his grim-faced host, Premier Li Keqiang.
Sri Lanka was so indebted to China after approving a string of ambitious projects that it was forced last year to lease a port in Hambantota to a Chinese company for 99 years.
Hahaha! Mkuu, yaani B.O.T ni worse than kuwa na loan. Kumbuka kwenye B.O.T una transfer baada ya ku-realize targeted interest, ambayo Wachina huwa wanakuambia Transfer itafanyika baada ya miaka 33 tu. But nakuambia, hakuna kitu kama hicho kitatokea kwa nchi zote zenye B.O.T na China.Tafadhali fanya utafiti kabla hujakimbilia kuandika vitu vikubwa kama hivi. Financing ya mradi wa Bagamoyo ni tofauti kabisa na hizo nchi ulizozijata hapo juu kwasababu umefanywa chini ya B.O.T (Build, Operate and Transfer) ambapo serikali za Uchina na Oman zingejenga hiyo bandari kwa pesa zao na kuiendesha kwa miaka 30 kisha kuiachia Tanzania umiliki wa hiyo bandari. Sri-Lanka ilichukua mkopo ya moja kwa moja ili kujenga bandari na wakashindwa kulipa, Tanzania haijachukua mkopo bali imetoa eneo kwa ajili ya ujenzi wa bandari hiyo Debt-Trap inatokea wapi ?
MKuu, afadhali hata iwe 50. Wachina huwa wanataka miaka 99!UKOLONI MAMBOLEO UMETAMALAKI,
KAMA MLIMANI CITY ILIVYOKODISHWA 50yrs,
hapa nilipo nina 37+50=85 ndio chuo kikuu watapewa yale majengo yashaoza nyang'anyang'a
Nipo pamoja na Serkali kama masharti yenyewe ndio hayo!.viongozi wetu wa sasa lazima wawe makini sana, watu weupe hawanaga nia nzuri na sisi weusi toka kuumbwa kwa DuniaKwa kifupi wanataka katika mazingira fulani waendeshe wao ile bandari, na kukusanya mapato yote wala TRA wasiguse pale. Pia wanataka ukanda mkubwa zaidi wa kuwekeza pale, wajenge majengo yao ya kuishi na biashara na maofisi. Pia wanataka wawekezaji wa lile eneo wawe wanawaruhusu wao pamoja na nani akubaliwe nani akataliwe kuwekeza lile eneo. Yote hayo wafanye hadi fedha yao irudi, bila kuingiliwa. Na pia wanataka ile iwe ndio bandari kuu pekee Tanzania, iwe marufuku kuziendeleza bandari za Tanga, Mtwara na hata Zanzibar ikiwezekana. Kwa kifupi, lile eneo liwe "Small China country".
Sasa niambie Raisi gani mwenye akili atakubali vitu kama hivyo? Halafu kina Ndugai na Bunge lake dhaifu wanasema afadhali tuache SGR waChina watujengee bandari - kwa masharti hayo?
Kwanza nikupongeze wewe na mleta UZI kwa ufafanuzi wa hi kitu; hata mimi naungana na nyie kumpongeza mhe rais kuhusiana na hili la bandari ya Bagamoyo; nchi ilikua inauzwa jumla. Kuna kitu kimoja tu Watanzania nadhani tujitafakari, tumekua wasahaulifu mno, hili jambo lilijadiriwa hata humu wakati ule wa Mkwere/JK na hope ndio sababu hata JK mwenyewe alikua anasita sita kusaini mkataba. Big up sana mhe No kwa hili, kuna mengne mengi siyaungi mkono but kwa hili, big YES.
Tatizo ni kwamba, kwa kuwa kuna madudu mengi ambayo Magufuli anafanya, watu wamefikia kudhani kila analofanya ni dudu. Nilishasema humu ndani, kuna madudu mengi anafanya, lakini ukiniuliza kati ya Magufuli na Mkwere nani awe raisi, basi nitakuambia Magufuli.
Vivyo hivyo sintaacha kumwambia Magufuli na CCM yake kuwa sio kila kidu wanachofanya Wapinzani ni madudu. Kuna mambo CCM wanafanya ni madudu makubwa ya kutisha afadhali mara mia wapinzani.
Mbona sasa na wewe hueleweki ......kwa majibu yako ni dhahiri B.O.T is bether than loan........Hahaha! Mkuu, yaani B.O.T ni worse than kuwa na loan. Kumbuka kwenye B.O.T una transfer baada ya ku-realize targeted interest, ambayo Wachina huwa wanakuambia Transfer itafanyika baada ya miaka 33 tu. But nakuambia, hakuna kitu kama hicho kitatokea kwa nchi zote zenye B.O.T na China.
Na waliochukua loans wakadhani labda ni nafuu kuliko B.O.T waligundua wameingia mkenge mkubwa, kwa kuwa masharti ya ku-default payment ya loan yanaeletea condition ya "Operate" kwa 99 years (Sri Lanka was so indebted to China after approving a string of ambitious projects that it was forced last year to lease a port in Hambantota to a Chinese company for 99 years)
Najua ninachoongea, trust me.