Mkuu Ulikaa Darasa Gan Miaka Kadhaa Kujifunza Ku Bypass Frp?Hongera sana mkuu,unajitahidi sana ila endelea kujaribu option nyingine hadi kieleweke...
Haya mambo wenzako tunakaa darasani kwa kusoma kwa miaka kadhaa..
Hatua za mwanzo umefata vizuri kuweka sim card yenye majina na kuunganisha Wi-Fi ?
Mkuu sijaweka SIM card yoyote.. Kuhusu kuunganisha Wi-Fi haikuwa na shidaHongera sana mkuu,unajitahidi sana ila endelea kujaribu option nyingine hadi kieleweke...
Haya mambo wenzako tunakaa darasani kwa kusoma kwa miaka kadhaa..
Hatua za mwanzo umefata vizuri kuweka sim card yenye majina na kuunganisha Wi-Fi ?
Kupitia kwenye apps tafuta app inayoitwa Google utaweza kufikia kwenye browser.Wakuu,
Tokea jana nimekuwa nikijaribu tutorial za YouTube jinsi ya ku-bypass FRP katika Nokia 1.
Lakini kuna sehemu nafika ambayo yule wa kwenye tutorial inampeleka direct kwenye Google Chrome halafu mimi simu yangu inanipeleka kwenye apps.
Kwenye hiyo picha hapo chini kuna option imeandikwa tap to go to application settings ambapo mimi nikiibonyeza inanipeleka kwenye apps wakati jamaa wa tutorial inampeleka direct kwenye Chrome browser.
Je nakosea wapi? Naomba msaada.
View attachment 1324312View attachment 1324321
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mgumu04Siyo kila simu waweza by pass frp kwa sababu ya strong security njia rahisi ni kutumia device tu nck pro, miracle etc .
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
Mkuu Ahab LeekaKupitia kwenye apps tafuta app inayoitwa Google utaweza kufikia kwenye browser.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mgumu04
Naomba unisaidie juu ya miracle box
Mm natumia windows 10...nikiinstall af nkiopeni miracle box inaniambia can't reach miracle box.. Je tatizo ni nn??
Au ni miracle box gani iko compatible na windows 10??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndo pa kutokea mkuu, badilisha kwanza lugha au wewe unaelewa hiyo lugha?Mkuu Ahab Leeka
Nikibonyeza hiyo google inakuja hvo View attachment 1325717View attachment 1325718
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Ahab LeekaHapo ndo pa kutokea mkuu, badilisha kwanza lugha au wewe unaelewa hiyo lugha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu ndio naona leo quote yako nina imani ulifanikiwa.