ndo ubaya wa kugeuza uhusiano wa mapenz kuwa uhusiano wa ki baba na mwana au mama na mwana.. hebu geuza mapenz kuwa kama rafik,uwe free, nae awe free kwako.. pengne umemnyima uhuru.. anakuogopa.. mfanye mpenz wako awe free kwako.. kama dk 5 znapita bila kusemeshana.. hamna cha kuongea hilo ni jipu.. jitumbuen mapema..
fanya hivi mkuu; weka mazingira awe mtani wako! yaani isiwe kama ni mama mkwe wako. weka mazingira ya utani nae yaani mnataniana sana kucheka, kufanyiana vituko vya kutosha, mnataniana muweke mazingira ya utani we utakuaje na mpenzi wako afu muwe serious kama ni mwalimu wako mkuu bhana. ila usipofanya hilo basi jua akipata mtu wa kumtaniatania kumfanya acheke vituko vya hapa na pale basi jua ataondoka mazima. maana ya mpenzi ni kimbilio lake kwa faraja sa anakuja kwako mnakosa la kuongea then nyie ni wapenzi au kitu gani
sa dak 5 zote mpo kimya kila mtu anawaza mchepuko wake...
Ahaaaaaa njo nikufundishe loh hivi utaanzaje kukosa la kushema kwa mfano? Hata mambo ya siasa, mabadiliko na ukawa, mpira, mambo ya kijamii,mahusiano hujui? Acha utoto basi kuwa unashutukiza unamwambia shikamoo basi ataona aibu acheke ndo story zinaanza.
Au develope vitu ambavyo ni vya kipekee kiasi kwamba akiona ishara anajua ni wewe. basi kama kuna sehemu mnakutanaga au unajua lazima binti huyo apite, kila ukipita hapi dondosha ka ua (sio la dukani) na liwe the same colour basi kila akipita analikuta mbona ataanza naongezi mwenyewe??
Au develop jina la kichekesho ukimuita tuu lazima acheke mfano my...... Malizia
ha ha ha ha ha
huyu jamaa anacheza akili za watu. jukwaa la elimu kaandika kuhusu ajira za wahasibu kuwa yeye ni giaduate wa ud accounts ila eti hajui maana ya CPA. huku unaleta vibweka vingine hivi unaona raha gani hasa
Mwambie tu I love you, akijibu mwambie tena yani ni I love you mwanzo mwisho
Habari zenu wana jamvi. Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi natarajia kumwoa mwakani. Sasa Iko hivi huwa nikikutana na huyu mpenzi wangu huwa nakosa cha kuzungumza nae tunaweza tukae hata dk 5 bila kusemeshana. Na ukizingatia mimi kwenye mapenzi nimeanza kujihusisha hivi karibuni baaada ya kumaliza chuo. Hivi wadau huwa mnazungumza nini na wapenzi wenu? Maana naona Ataanza kunichoka sasa.
Kwani uongo jaman.... hivi nilikwambiaje siku zile
he he he nimesahau dear... wajua twapiga storie nyingi
Mwambie "mpenzi, mama yako mzazi ni mwehu" halafu uone kama mnaweza kukaa hata sekunde 5 bila kuongea.
Hahhaha ile ya sku zile kabla hatujaenda church... we nae usichanganye na juzi kabla hatujatoka out