Nakosa cha kuongea na mpenzi

Muombe appointment yani geto halafu aza kumla papuchi ,hapo utakua mwanzo wa story.Na toka siku hiyo ni full story mpaka utakimbia.
 
ndo ubaya wa kugeuza uhusiano wa mapenz kuwa uhusiano wa ki baba na mwana au mama na mwana.. hebu geuza mapenz kuwa kama rafik,uwe free, nae awe free kwako.. pengne umemnyima uhuru.. anakuogopa.. mfanye mpenz wako awe free kwako.. kama dk 5 znapita bila kusemeshana.. hamna cha kuongea hilo ni jipu.. jitumbuen mapema..

Daaaaaa huyu jamaaa kanipa booonge la ushauri. Kawafunika wote kudadadeki. Big up afu nipm nikutumie hata ela ya choda
 
Lazima wakuchapie. Kuna wajanja wanaimba mashairi na wanawake wanapenda sana story kuchekeshwa na kutekenywa kupelembwa kusifiwa halafu wewe wanuna tuu khaaaaa
 
fanya hivi mkuu; weka mazingira awe mtani wako! yaani isiwe kama ni mama mkwe wako. weka mazingira ya utani nae yaani mnataniana sana kucheka, kufanyiana vituko vya kutosha, mnataniana muweke mazingira ya utani we utakuaje na mpenzi wako afu muwe serious kama ni mwalimu wako mkuu bhana. ila usipofanya hilo basi jua akipata mtu wa kumtaniatania kumfanya acheke vituko vya hapa na pale basi jua ataondoka mazima. maana ya mpenzi ni kimbilio lake kwa faraja sa anakuja kwako mnakosa la kuongea then nyie ni wapenzi au kitu gani

Mkuu labda hicho ndo huniponza. maana Mimi huwa nataka tuongee vitu serious tyuuu nahisi ndo maana inakua hvoo
 
Ahaaaaaa njo nikufundishe loh hivi utaanzaje kukosa la kushema kwa mfano? Hata mambo ya siasa, mabadiliko na ukawa, mpira, mambo ya kijamii,mahusiano hujui? Acha utoto basi kuwa unashutukiza unamwambia shikamoo basi ataona aibu acheke ndo story zinaanza.

Au develope vitu ambavyo ni vya kipekee kiasi kwamba akiona ishara anajua ni wewe. basi kama kuna sehemu mnakutanaga au unajua lazima binti huyo apite, kila ukipita hapi dondosha ka ua (sio la dukani) na liwe the same colour basi kila akipita analikuta mbona ataanza naongezi mwenyewe??

Au develop jina la kichekesho ukimuita tuu lazima acheke mfano my...... Malizia

Ohoo....atamwita "my Malizia" ....chezea
 
Haya ndiyo matatizo ya kutongoza badoo, dem naye kashakuona kilaza flan na isikute ulianza na m-pesa kabla hata hujamuona, kama naye huwa anakaa kimya ukiwa naye jitaid kupima oil isikute kwako anafata kitu flan na huko alipotoka kilometa zimeshasoma.
 
huyu jamaa anacheza akili za watu. jukwaa la elimu kaandika kuhusu ajira za wahasibu kuwa yeye ni giaduate wa ud accounts ila eti hajui maana ya CPA. huku unaleta vibweka vingine hivi unaona raha gani hasa

Anatamani kuchezewa masabuli huyo
 
Mwanamke ndo kiumbe dhaifu unaweza kum brain wash kw vitu vdogo.yaani ukijua saikoloji unaweza kumteka kw cku moja mmekutana na akakulazmisha mkalale.ila me huwa nakataa ucpende mwanamke akuone we cheap
 
Habari zenu wana jamvi. Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi natarajia kumwoa mwakani. Sasa Iko hivi huwa nikikutana na huyu mpenzi wangu huwa nakosa cha kuzungumza nae tunaweza tukae hata dk 5 bila kusemeshana. Na ukizingatia mimi kwenye mapenzi nimeanza kujihusisha hivi karibuni baaada ya kumaliza chuo. Hivi wadau huwa mnazungumza nini na wapenzi wenu? Maana naona Ataanza kunichoka sasa.

Baada ya huo muda ni nani anaanzisha mazungumzo?
 
Back
Top Bottom