Nakosa cha kuongea na mpenzi

Nakosa cha kuongea na mpenzi

Habari zenu wana jamvi. Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi natarajia kumwoa mwakani. Sasa Iko hivi huwa nikikutana na huyu mpenzi wangu huwa nakosa cha kuzungumza nae tunaweza tukae hata dk 5 bila kusemeshana. Na ukizingatia mimi kwenye mapenzi nimeanza kujihusisha hivi karibuni baaada ya kumaliza chuo. Hivi wadau huwa mnazungumza nini na wapenzi wenu? Maana naona Ataanza kunichoka sasa.

we jamaa unahitaji PhD ya uboya, maana haiingii akilini mtu
wa kiwango kama chako halafu unakuwa mweupe kiasi hicho,
vinginevyo wewe ni domo zege na huyo demu uliye naye
ulitongozewa kila kitu wewe umepewa tu umalize....sasa hujui cha kufanya.
 
Back
Top Bottom