Nakosa cha kuongea na mpenzi

Nakosa cha kuongea na mpenzi

Kabla ya kukutana nae mtumie kwanza text inayoanza na " BX53YL754 Imethibitishwa... "
Yeye ndio atakuwa redio we msikilizaji tu.
 
Hahahah we mwambie baby natamani nichepuke kidogo usikie mtaongea siku nzima non stop na conversation murua kabisa
 
hamna mapenzi hapo... mkipendana story huwa haziishi, mtaongea hata ujinga imladi mmeongea tu!!!

sa dak 5 zote mpo kimya kila mtu anawaza mchepuko wake...

Kweli kbsa mkuu. Inawezekana huyu mleta uzi anapenda kuongea facts tu. Kwenye mapenzi mnaongea kla jambo...
 
huyu jamaa anacheza akili za watu. jukwaa la elimu kaandika kuhusu ajira za wahasibu kuwa yeye ni giaduate wa ud accounts ila eti hajui maana ya CPA. huku unaleta vibweka vingine hivi unaona raha gani hasa
 
Mkuu,kumbe unamfahamu huyu Dogo?
 
hamna mapenzi hapo... mkipendana story huwa haziishi, mtaongea hata ujinga imladi mmeongea tu!!!

sa dak 5 zote mpo kimya kila mtu anawaza mchepuko wake...

Namshangaa.
Hivi mnakosaje ya kuongea kwa mfano?
Hawana hata jirani wa kumuongelea?
Enzi zangu kama tumekosa kabisa story tunafungua mahakama,tunasomeana mashtaka.... Ugomvi unaibuka tu.
Baada ya miezi kadhaa nayo inakua story.
 
huyu jamaa anacheza akili za watu. jukwaa la elimu kaandika kuhusu ajira za wahasibu kuwa yeye ni giaduate wa ud accounts ila eti hajui maana ya CPA. huku unaleta vibweka vingine hivi unaona raha gani hasa

Mfyuu... Aende zake kumbe jinga moja.
 
Huwa wanasema 'Picha ina thamani ya maneno 1000' piga picha na yeye apige yake badilishaneni.

Kila atakayeangalia atakuwa ameongea maneno 1000 na mwenzake.
 
we acha mambo ya ajabu... ukose cha kuongea na mpenzi wako..?
basi siku mkikutana muulize anapenda nyimbo?akijibu muulize aina gani ya nyimbo? akijibu muulize anajua kuimba? yaani anachojibu ndio kinazaa swali jingine.
mpe nafasi naye akuulize swali kwa kuinesha kutoridhika na jibu lake..
tembea na mada mda mrefu huku ukiibasilisha taratibu kurudi kuongelea mapenzi kuona kama mnaendana interests

Aangalie tuu asiulizwe mbona maswali mengi kama polisi.
 
Inshort we ni doomooo zegeeee bhabhahabha, hivi umesha mla ata ulimi
 
ndo ubaya wa kugeuza uhusiano wa mapenz kuwa uhusiano wa ki baba na mwana au mama na mwana.. hebu geuza mapenz kuwa kama rafik,uwe free, nae awe free kwako.. pengne umemnyima uhuru.. anakuogopa.. mfanye mpenz wako awe free kwako.. kama dk 5 znapita bila kusemeshana.. hamna cha kuongea hilo ni jipu.. jitumbuen mapema..
 
Back
Top Bottom