financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,215
- 43,615
Dooh,kumbe ushawahiwa jamani, hongera zake kwa huyo mrembo aliyeniovertake[emoji3] and all the best in your new married life.Nakiri kabisa mwaka uliopita nilifanya uamuzi wa kuoa baada ya kudumu katika mahusiano kwa muda wa miaka 3.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliambukizwa huo 2009 nimetoka advance tu wiki ya kwanza nikaparimia denu langu nikaukwaa kibaya zaid nikaenda yibiwa wanataka nipime na ukimwi. Nikaamua rudi home nikanunua doxy kunywa wiki nzima hamna nafuu nikarudi tu hospital na kupima ukimwi na kutibiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2],umetisha mkuuNakiri ni muda mrefu meitunza hii siri ila sasa nimechoka "Mimi vidmate ndie yule mtu anaewekaga maji kwenye nazi"
Haya kulikoni nidadavulie japo kiduchu
I'm sorry
Ndoa miez miwili tu mkeo tayr ana safari ..umeliwa ww kaenda kwa x wake[emoji23][emoji23]
Nakiri kabisa..
2019 imepita kavu bila kula tunda..ngoja tuone mwaka huu kama mdada yoyote atanionea huruma
Sana kiongozi wangu
kwa kipi nimekuaibisha?
Huyu jamaa ameo kweli na maelezo yake yanazidi kunishawishi kao member wa humu.Hahaha... nyie mnakosea saana.
Mnatudanganyia dada zetu hapa jukwaani kisha mnaoa wengine huko nje.
Kwanini wasibadilishe majina?
Hahahaaaa!! Wanipa kazi ujue. 💃💃💃Haya kulikoni nidadavulie japo kiduchu
Huwezi kumsaidia ?
Thijuiiiiiiii