Nakiri nimemkosea mwanaume mwenzangu

Nakiri nimemkosea mwanaume mwenzangu

pole sana Dam,huyo jamaa kaona akwepe majukumu kwa kukusingizia mtoto wake,mijanaume ya hivi wapuuzi kweli,unalea akiwa mkubwa ndio anakuja kusema ni mtoto wake.Dam 55 ,tunza tu huyo mtoto,na Mungu atakubariki.
mkuu kutunza mtoto asiye wangu ni mtihani mkubwa sana kwangu huu.
 
kuna vitu viwili hapA kuna kuwa na uhusiano na kupata mtoto. so huyu jamaa kakuhic kuwa na uhusiano na mke wake iliyopelekea kumkataa MTOTO, cion umuhimu wa DNA bdo hautaponya machungu, cha msingi familia wamuite ili wajue msimamo wake, kama akilieleza hilo, unawezsa pata nafs ya kujieleza..
 
kweli umeongea la maana sana mkuu ila naogopa kufata kuongea nae kwasababu tayari keshaweka kuwa mimi ni mbaya wake so anaweza fanya lolote huyu na sidhani kama atanisikiliza
Ndio maana nikakupa options hapo...kama unaona mwenyewe huwezi tafuta mtu uende nae!! Huyo binadam kama wewe huna haja ya kumuogopa
 
mkuu kutunza mtoto asiye wangu ni mtihani mkubwa sana kwangu huu.

kwani kuna ubaya mkuu???mie nakushauri uhame huo mtaa nenda mbali ,huyo mwanamke asijue unapokaa,wakikutafuta wakikupata waambie huyo si mwanao,nendeni polisi wakufungulie mashtaka au waende ustawi wa jamii,hapo ndipo haki itatendeka maana watahitaji uthibitisho wa DNA.
 
Naona kama kuna jambo unaficha hapo.

Huyo binti alikuwa anakuja kwako mara nyingi na akawa rafiki yako mkubwa, kwa uelewa wangu rafiki mkubwa huwa mnaongea mambo mengi sana na mengineyo ya undani zaidi.

Je katika maongezi naye hujawahi kugusia kuhusu hali yake ya kimahusiano au hakuwahi kukuuliza hali yako ya kimahusiano? kwani katika maongezi yeyote kati ya mwanamke na mwanaume huo muhimili lazima utagusiwa tu hata kiutani.

Amechumbiwa mtaani hukujua, amebeba mimba ukaiona na bado anakuja kwako mnaangalia wote cd wala humuulizi kuhusu mimba aliyonayo? Na bado unamkaribisha kwako?

Da ngoja niishie hapa kwani nina maswali mengi ya kujiuliza yanayonifanya nisiamini unachojaribu kutuaminisha hapa.
 
Sasa unakiri nn km umekosea,sijaon kosa lako hapo,sema tu huyo kijan anajikisia wivu lbd kutokan na hali aliyo nayo,na yeye bi dada atakujaje kwako alafu mpo jinsia tofaut mnaangalia tv ndani wenyewe,kwani ulishindwa kumpa ela awe anaenda kuangalia zile za vibandani..utakoma sasa maana cheza mbali na vilema
 
Ndio maana sitaki mazoea Na wanawake ....!! Mimi hapa
 
Jamaa basi atakuwa inferior labda kwa hali yake.lkn ni vzr ukianza kujiepusha na huyo binti na umueleze hilo alielewe.Anapaswa kujiheshimu hasa ukizingatiwa kwamba katolewa mahali ni kwa mila nyingi ni kama ameshaolewa.utajisiej ww una mtu umemtolea mahali halafu anashinda kwa mchizi mwingi.hili jambo ni elementaru kabisa hukuhitaji kuomba ushauri.unatuchosha tu
 
Mkuu pole Sana,hakika Mwenyezi yu nawe.yataisha tu

Story yako imenikumbusha story yangu na rafiki yang wa kike nilipokuwa nyumbani.Yule dada alipenda Sana kuja getho kwangu na kweli sikuwai kutembeanae na hakuwa mpenzi wangu,ilikuwa Ni story za hapa na pale Tu.

Sasa bdae yule dada alipewa ujauzito sijui na jamaa gani tu,ile nyumbani kumbana Sana ikabidi yule dada atorokee kusikojulikana,mi aliniambia anaondoka,ILA hakusema anakokwenda

Aisee kila mtu aliamini mi ndo muhusika mkuu,nashukuru Baba wa mimba ile alijipeleka mwenyewe nyumbani kwa yule binti.HAKIKA NI MUNGU TU
Hizi scenario huwa zinatokea sana, watu wengi wametiwa hatiani kwasababu ya ushahidi wa kimazingira ambao kimsingi hautoshi kuthitibisha kosa. Mambo ya namna hii ni kumuomba Mwenyezi MUNGU aingilie kati kwa kuithibitisha haki na kuifuta batli inayoamiwa na wengi kuwa ni kweli kumbe si kweli. Nilishawahi kutiwa hatiani mm na mwenzangu kwa ushahidi wa kimazingira lkn ukweli ni kuwa sisi hatukufanya lile kosa hakika!!

Pamoja na yote hayo, ww pia unamakosa, kushinda ndani mwako na mwanamke asiye wako ni makosa sana!! Hata ungekuwa ww ndio huyo mlemavu unadhani ingekuwa rahisi kuelewa??? Mkuu tubu dhambi hiyo kwanza, kisha anza utaratibu wa kurejesha amani kwa uchumba huo unaoelekea kuvunjika.
 
Duuuh! Kesi za namna hii zipo,kuna rafiki yangu alikuwa na mazoea na binti mmoja(mwanafunzi) kuna siku binti ametoka kugegedwa na jamaa zake kuulizwa nyumbani anatoka wapi usiku akasema natoka kwa fulani (mate wangu).Wazazi kumkagua papuchi imetepeta wakafunga safari polisi na ndugu yangu akabebwa usiku ule kw tuhuma za ubakaji.Nashukuru Mungu kesho yake tulifanya tuwezalo tukafaragiza jamaa akapata dhamana na mambo yaliisha.Cha kujifunza ni kuacha mazoea na yasiyo na faida yoyote hususan wanawake/mabinti wa kileo
 
Hakunaga best friend kati ya mwanamke na mwanaume, jamaa lazima imuume!
 
Kama una uhakika hukutembea nae, cha kwanza mfwate face to face huyo jamaa (hapa mvizie akiwakwenye mood nzuri na akiwa free) mwambie hali halisi!!! akikataa mchukue shem wako na mzee/ wazee wenye heshima hapo mtaani, akikataa mnaweza kuonana na viongozi wa dini!!! na hapa akikataa mwambie mkapime DNA!!! na hii akigoma basi jua jamaa alikua natafuta gear ya kukimbia mimba na kashaipata hapo!!!!

Kwakua umeonyesha nia ya kuwasaidia incase akikataa basi wakihitaji msaada wape (ila hapa uwe makini maana wanaweza sema ndio unalea mwanao)!!!

Wazo zuri sana hili.
 
kama umepangs hama hapo ya nn usnze kupima DNA isiyokuhusu? kwa gharama zipi? ili mradi binti anajua ukweli mbele za mungu uko msafi punguza huruma mazoea na iyo familiya futa kabisa
 
Naona kama kuna jambo unaficha hapo.

Huyo binti alikuwa anakuja kwako mara nyingi na akawa rafiki yako mkubwa, kwa uelewa wangu rafiki mkubwa huwa mnaongea mambo mengi sana na mengineyo ya undani zaidi.

Je katika maongezi naye hujawahi kugusia kuhusu hali yake ya kimahusiano au hakuwahi kukuuliza hali yako ya kimahusiano? kwani katika maongezi yeyote kati ya mwanamke na mwanaume huo muhimili lazima utagusiwa tu hata kiutani.

Amechumbiwa mtaani hukujua, amebeba mimba ukaiona na bado anakuja kwako mnaangalia wote cd wala humuulizi kuhusu mimba aliyonayo? Na bado unamkaribisha kwako?

Da ngoja niishie hapa kwani nina maswali mengi ya kujiuliza yanayonifanya nisiamini unachojaribu kutuaminisha hapa.

Mkuu mimi wala sikulaumu kwasababu kwa maswali kama hayo ndio maana hata huku mtaani wanaamini hivyo.
Mimi sikuwa kukaa kumuliza kuhusu mahusiano na alipopata ujauzito pia sikutaka kuhoji kwanza nahoji ili iweje mimi nikafata yangu kumbe ndo nimefanya kosa la jinai na ndo mana nakili kuwa nimefanya uzembe wa kujiweka karibu nae hili ndo kosa langu mimi
 
Sasa unakiri nn km umekosea,sijaon kosa lako hapo,sema tu huyo kijan anajikisia wivu lbd kutokan na hali aliyo nayo,na yeye bi dada atakujaje kwako alafu mpo jinsia tofaut mnaangalia tv ndani wenyewe,kwani ulishindwa kumpa ela awe anaenda kuangalia zile za vibandani..utakoma sasa maana cheza mbali na vilema

Mkuu kosa langu hapa ni kumluhusu kuja kwangu huyu dada. Ila mimi sikuwa na hofu yoyote kwasababu hakuna dhambi niliyokuwa nafanya nae lakini kumbe machoni mwa watu ni dhambi.
 
Back
Top Bottom