Nakiri nimemkosea mwanaume mwenzangu

Nakiri nimemkosea mwanaume mwenzangu

Habari wanajamii, poleni kwa majukumu ya kutwa nzima ya leo.

Jamani naombeni mnisaidie nini cha kufanya nana roho inaniuma sana kwa jambo hili.
Kuna ndugu yangu naishi nae mtaa mmoja ila yeye ameo na ana watoto wawili. Mara nyingi huwa nakwenda kwake nahasa shemeji yeye huwa anata niende kula chakula kwake pindi ninapotoka kazini kwa kuwa mimi bado sijaoa so ananionea huruma kujipikia mwenyewe.

Sasa pale kwa huyu ndugu yangu kuna mpangaji ambaye anawatoto wawili mmoja ni binti mkuwa wa miaka 21 na mwingine ana miaka 13 kiujumla maisha yao si mazuri kila kitu wanamtegemea mama yao. huyu binti mdogo anasoma form one pamoja na mtoto wa ndugu yangu. hawa watoto wamenizoea sana . Nikajikuta namhurumia sana huyu mtoto wa jirani wakati mwingine anakosa hata vifaa vya shule kutokana na hali yao ya kimaisha basi nikaamua kumnunulia baadhi ya vitu pia na hata pesa za tution namlipia mimi.Mama yake pamoja na dada yake wakanishukuru sana.

Sasa ikawa kila siku dadayake akaanza kuwa karibu na mimi na hatimaye tukawa marafiki wakubwa tu hadi kwangu akawa anakuja kilichokuwa kikimleta ni CD huwa anapenda sana kuangalia seasons kama mimi so anakuja kuchukuaga kwangu.Ila hatukuwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi hata siku moja Mungu wangu ni shahidi.

Kumbe huyu dada alitolewa mahari na bwana mmoja hapa mtaani mimi sikufahamu hilo na wala yeye hakunambia. Mara nikamuona huyu dada akiwa mjamzito sikuhoji kitu na sikuwa na sababu ya kuhoji kwa hilo.
Kumbe likawa kosa kubwa sana mchumba wake akawa analalamika kuwa mimi natembea na mchumba wake mimi sikuwa na habari kwasababu mimi si mkaaji wa vijiweni mimi nikiingia nimeingia nikitoka nimetoka ukibahatika basi utanikuta kwa shemeji yangu so story za mitaani zikawa zinanipita.
Imefika wakati huyu dada kajifungua tena kwa oparetion. na siku chache kabla ya kujifungua alikuja kwangu tuliongea sana kama kawaida yetu.
Kilichotokea jamaa kamkataa mtoto anadai sio wake ni wangu mimi na hii leo ni siku ya 6 tangu ajifungue jamaa hajaenda kumuona mwanae. dada wa watu analia anaomba nimsaidie kumwambia ukweli huyo jamaa. Shemeji ndo amenambia kila kitu kuhusu huyu jamaa.

Kinacho niuma zaidi mtu mwenyewe ni mlemavu masikini naumia sana moyoni sikutembea nae mimi hata mara moja jamini.

Nitafanya nini ili niaminike wakati watu walikuwa wanamuona akija nyumbani kwangu??.
NITAELEZA NINI MIMI WAPENDWA. NAJIONA MKOSAJI HASA MTU MWENYEWE KILEMA NITAANZIA WAPI KUMWAMBIA UKWELI .
NISAIDIENI MAWAZO YENU NDUGU ZANGU NIMEKWAMA HAPA.
Badili Kichwa cha Habari tafadhari
 
Mkuu pole Sana,hakika Mwenyezi yu nawe.yataisha tu

Story yako imenikumbusha story yangu na rafiki yang wa kike nilipokuwa nyumbani.Yule dada alipenda Sana kuja getho kwangu na kweli sikuwai kutembeanae na hakuwa mpenzi wangu,ilikuwa Ni story za hapa na pale Tu.

Sasa bdae yule dada alipewa ujauzito sijui na jamaa gani tu,ile nyumbani kumbana Sana ikabidi yule dada atorokee kusikojulikana,mi aliniambia anaondoka,ILA hakusema anakokwenda

Aisee kila mtu aliamini mi ndo muhusika mkuu,nashukuru Baba wa mimba ile alijipeleka mwenyewe nyumbani kwa yule binti.HAKIKA NI MUNGU TU
 
Habari wanajamii, poleni kwa majukumu ya kutwa nzima ya leo.

Jamani naombeni mnisaidie nini cha kufanya nana roho inaniuma sana kwa jambo hili.
Kuna ndugu yangu naishi nae mtaa mmoja ila yeye ameo na ana watoto wawili. Mara nyingi huwa nakwenda kwake nahasa shemeji yeye huwa anata niende kula chakula kwake pindi ninapotoka kazini kwa kuwa mimi bado sijaoa so ananionea huruma kujipikia mwenyewe.

Sasa pale kwa huyu ndugu yangu kuna mpangaji ambaye anawatoto wawili mmoja ni binti mkuwa wa miaka 21 na mwingine ana miaka 13 kiujumla maisha yao si mazuri kila kitu wanamtegemea mama yao. huyu binti mdogo anasoma form one pamoja na mtoto wa ndugu yangu. hawa watoto wamenizoea sana . Nikajikuta namhurumia sana huyu mtoto wa jirani wakati mwingine anakosa hata vifaa vya shule kutokana na hali yao ya kimaisha basi nikaamua kumnunulia baadhi ya vitu pia na hata pesa za tution namlipia mimi.Mama yake pamoja na dada yake wakanishukuru sana.

Sasa ikawa kila siku dadayake akaanza kuwa karibu na mimi na hatimaye tukawa marafiki wakubwa tu hadi kwangu akawa anakuja kilichokuwa kikimleta ni CD huwa anapenda sana kuangalia seasons kama mimi so anakuja kuchukuaga kwangu.Ila hatukuwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi hata siku moja Mungu wangu ni shahidi.

Kumbe huyu dada alitolewa mahari na bwana mmoja hapa mtaani mimi sikufahamu hilo na wala yeye hakunambia. Mara nikamuona huyu dada akiwa mjamzito sikuhoji kitu na sikuwa na sababu ya kuhoji kwa hilo.
Kumbe likawa kosa kubwa sana mchumba wake akawa analalamika kuwa mimi natembea na mchumba wake mimi sikuwa na habari kwasababu mimi si mkaaji wa vijiweni mimi nikiingia nimeingia nikitoka nimetoka ukibahatika basi utanikuta kwa shemeji yangu so story za mitaani zikawa zinanipita.
Imefika wakati huyu dada kajifungua tena kwa oparetion. na siku chache kabla ya kujifungua alikuja kwangu tuliongea sana kama kawaida yetu.
Kilichotokea jamaa kamkataa mtoto anadai sio wake ni wangu mimi na hii leo ni siku ya 6 tangu ajifungue jamaa hajaenda kumuona mwanae. dada wa watu analia anaomba nimsaidie kumwambia ukweli huyo jamaa. Shemeji ndo amenambia kila kitu kuhusu huyu jamaa.

Kinacho niuma zaidi mtu mwenyewe ni mlemavu masikini naumia sana moyoni sikutembea nae mimi hata mara moja jamini.

Nitafanya nini ili niaminike wakati watu walikuwa wanamuona akija nyumbani kwangu??.
NITAELEZA NINI MIMI WAPENDWA. NAJIONA MKOSAJI HASA MTU MWENYEWE KILEMA NITAANZIA WAPI KUMWAMBIA UKWELI .
NISAIDIENI MAWAZO YENU NDUGU ZANGU NIMEKWAMA HAPA.

!
!
season ni kitu gani....samahani lakini
 
Pole ila sijajua nan mlemavu huyo dada au bwanake? Na mlemavu wanin
 
Karibu. Kwa sasa jaribu kufuata ushauri wa wazee wenye busara wanaokuzunguka (ndugu, Marafiki, majirani). Ukikwama kabisa ndio uangalie upande wa Sheria na nina uhakika wapo watakao pitia hii post na kukuelekeza mahali husika pa kwenda...usikose usingizi kwani dhamira yako ni safi.

ahsante ndugu yangu.
 
Hauna sababu ya kufeel guilt when you are not! Be a man and stand for the truth...unaweza kwenda mbali zaidi na kufanya vipimo vya DNA. Ingawaje siamini sana kama hukuhusika kwa lolote.

hapo sasa,embu mkuu dadavua vizuri usaidiwe,usikute ulichepuka ndio maana unakiri lol
 
Hakuna anayeweza kukubali kulea mtoto ambaye si wake na hasa ukitilia maanani jamaa anasema hakuwahi kumvua picchu huyo binti. DNA ni gharama kubwa lakini pia inawezekana huyo mtoto akashabihiana kwa kiasi fulani na baba yake hivyo kuthibitisha kwamba baba wa mtoto ni mtoa mahari.

Unajua gharam ya DNA wew? Hali yao sio nzur kiuchum si bora hio hela walee mtt
 
Hauna sababu ya kufeel guilt when you are not! Be a man and stand for the truth...unaweza kwenda mbali zaidi na kufanya vipimo vya DNA. Ingawaje siamini sana kama hukuhusika kwa lolote.

Mungu wangu ni shahidi mkuu sikuhusika mimi
 
Hauna sababu ya kufeel guilt when you are not! Be a man and stand for the truth...unaweza kwenda mbali zaidi na kufanya vipimo vya DNA. Ingawaje siamini sana kama hukuhusika kwa lolote.

hapo sasa,embu mkuu dadavua vizuri usaidiwe,usikute ulichepuka ndio maana unakiri lol
Mungu wangu ni shahidi mkuu sikuhusika mimi

nimekuelewa,pole sana mkuu Dam 55,utapata ufumbuzi soon.
 
yale yale ya hussein machozi " nani ataniona mimi mkweli nani nikimuelezea ataniamini......."
 
Pole sana ila usiwe na hofu kubwa sana hasa ukitilia maanani hukumgusa huyo binti, litapita hili Mkuu kuwa na subira.
ahsante ndugu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hapo sasa,embu mkuu dadavua vizuri usaidiwe,usikute ulichepuka ndio maana unakiri lol
mkuu sijui nikueleze vipi uniamini lakini mimi sijawahi kumgusa huyo dada hata mara moja kosa nililofanya hapa ni kile kitendo cha kumkalibisha nyumbani sa uzani nitakataa vipi mbele za watuwakati wamemuona akija kwangu??
 
Back
Top Bottom