Nakimbia ndoa-Naogopa kuua

Nakimbia ndoa-Naogopa kuua

Mmmmmmmmh! *Covers face from shame!*

Huyo dawa yake wala si kukibia na kumuachia jiji ajitanue! Dawa yake ndogo sanaaa! We tafuta nyumba ndogo hapo hapo jirani utiize ule usemi ULIKIONA CHA NINI, WENZIO WASEMA WATAKIPATA LINI? Atanyooka kama nguo mbichi iliyopigwa pasi!

I realy do feel mercy for the kids! Wataisoma namba, chezea baba wa kambo na mama wa kambo!
Thanks, you have spoken my mind. Dawa ya jeuri ni kuwa jeuri zaidi yake. Huyo si wa kuacha leo au kesho, akimwaga mboga unamwaga ugali.
 
Ndoa hizi? Mmh!
Aisee kama hajawahi kukubamba unamcheat, i hate to say this lakini fuata ushauri wa mdogo wangu lara 1. Buy time na hela ikirudi usome upepo. Dawa ya jeuri ni kiburi.
hata huo ushauri wa lara 1 bado sijauafiki

its not too late, kama anaona hawez kuvumilia basi kuna njia kuun 3 dunian za kutatua tatizo kama hili nazo ni
1) majadiliano..............hili tayari limesha feli so silijadili tena
2)separation ............ampe nafasi aende kwao akajifunze nidhamu ya maisha nina uhakika akimpeleka kwao akakae na siwe anaklwenda kwenye hizo biashara zake yaanim afunge hayo maduka binti akatulie home miezi kadhaa na kama akiridhika kwamba amebadilika baada ya kujadiliana na wazazi things can work properly na kama haita-work
3)divorce............hii ni hatua ya mwisho kabisa ambayo i can advice him as huleta matatizo sana kwa watoto wao watatu. but once akisha amua asirudi nyuma.

hitimisho............mwanamke ni mtu mzuri ila siku akiamua kubadilika na kuwa na shetani basi huvaa ile sura ya shetani nyoka wa pale bustanini edeni.

Biblia inasema enyi wanaume ishini kwa akili na wake zenu kwann ilisema hivi?? Mungu alijua kabisa kwamba kama huyu mwanamke ametumika kumwangusha adamu dhambini ni wazi kwamba shetan atamtumia huyu huyu kuendelea kumwangusha mwanaume yyte yule dhambini. sasa mke asikusababishe udondoke dhambili la wewe mume utumike kumwondoa mkeo kwenye dhambi.
 
Last edited by a moderator:
daah, pole sana huyo mama ni muuaji,

hapo upendo hakua tena, ila kukimbia mji sidhan km ni njia bora, ila Lara 1 keshamaliza
 
Mkuu minakuombea kwa mungu usije ukawa kama akina mushi na munisi
 
Aisee tafuta nyumba ndogo huyo wala usihangaike nae utakufa brother maisha mafupi bana kingine usirudie kumsomesha mwanamke utalia tena kesi yako sio ya kwanza
 
Mkuu mi naona ondoka kwanza ukakae mbali naye maana yawezekana wewe una shetani kama wa kwangu!!!!!!

Yaani nikiwa na hasir a huwa sioendi kuwa karibu na huyo aliyeniudhi tena huwa najitahidi kumkwepa/kumkimbia kabisa sasa tatizo huwa kinakuja yeye anakutafsiri kama muoga na huna maamuzi hivyo anaweza kuendelea kukuchokonoa kumbe ndio anakuharibu kabisa ubongo!!!!!!

Nilipokuwa mdogo I used to cry mtu akiniudhi
sana,wakati wa uvulana nilikuwa nikishika kitu hakirudi bila damu halafu baadae unaona huruma sana kuumiza mtu,sasa siku hizi na fahamu zangu nimegundua njia bora kabisa ni kuondoka kwenye maudhi kabisa ujipe muda maana kuna kipindi unaona kabisa mawazo hayako sahihi!!!!!!!!!!

Mimi nakuelewa mkuu sababu nadhani kama ni shetani tuna share na kama kila mtu ana kichaa basi mi na wewe tupo ward moja,kama umefikia maximum please take time off,ondoka mkuu utarudi baadae baada ya kuwa na rational and clean mind!!!!!

Pole sana mkuu,bora uonekane mnyonge na muoga kuliko kumwaga damu!!!!
 
Kwanza pole sana kaka ila tambua kwamba katika hii dunia hakuna jaribu lisilokuwa na njia ya kutokea, Na mungu katenga ya ww kuweza kutoka, Inaonekana umeumia kwa muda mrefu sana, huyo mkeo tena uliyempenda sana, kwa upande wangu sitakushauri ufanye ubaya wowote. Nina matumaini bado unaweza kuishi nae na kufanya jambo akabadilika na akakupenda kama mwazo.Kwanza kama ww ni Mkiristo tumia muda wako mwingi kumuombea na fanya hivyo mbele yako ajue kwamba unamuombea kwa Mungu ambadilishe na aache matendo mabaya. Na kama ni Muislam unatakiwa upige dua mbele yake.Kwa Mungu hakuna kinachoshindikana, pale akili zetu zinapoishia ndipo Mwenyezi Mungu huwa anaanza kufanya kazi ili ukuu wake utimilike. Muombe Mungu akupe muujiza wako ili nawewe umsifu mbele za watu. Narudia tena unapoomba omba mbele yake ajue kabisa unamkabidhi mikononi mwa aliyemuumba, wengi wamefanya hivyo na wamefanikiwa.Kumbuka kabla ya yote kutubu dhambi zako ili kuweka mazingira safi ya kuongea na Mungu baada ya hapo kuna sala Maalum kwa matatizo maalum yategemea unasali wapi lkn muone kiongozi atakupa hizo sala na kaombe kwa imani na utafanikiwa.

Sent from my BlackBerry 9700
 
Tulia na wala usimfuatilie, jali watoto wako, simamisha tendo la ndoa nae though inahitaji ujasiri sana. Ongeza juhudi ya kuongeza kipato ili uwe independent wewe na hata kwa watoto. week ends take ur kids out n enjoy utapata raha na hicho kishimo chake utakiona kama donda ndugu lenye uchafu. atarukaruka hatimae atakumbuka shuka wkt kumekucha. mapito tu hayo. sema 'and this also shall end' Amen!
 
Wadau nashukuru sana kwa michango yenu. Nimepata faraja sana. Nawashukuru sana wapendwa.


Kingine nikwamba,..jambo likitokea hua mstari wa mbele kuwapigia simu wazazi....na kuweka chumvi nyingi sana. Hatimaye wazazi huniona mimi mbaya sana.....na kuanza kunishambulia....Hasa Mama yangu. Hii kwakweli inaniuma zaidi na zaidi. Kuona Mama yangu bila kusikiliza upande wangu anakuja juu. Na wazazi wake nao hawamshauri kitu chochote kitu ambacho anaona sahihi kwa anayofanya.




Mfano sasa ivi....mzazi wangu anataka aje kwenye familia yangu. Aniondoe hapa kwa lazima....nisije nikamuua mtoto wa watu koz matukio yamekua mengi na wanahisi naweza kumuua. Sielewi kwa kweli....



Nyie wanawake nawaheshimu sana aisee. Mi naona kabisa wanaowaua wapo sahihi. Nimekosa bastola tu hapa. Ila ningeua. Au naweza kuua kwa kumtoboa toboa na kisu tumboni. ...issue ikaja upande wangu ntajimalizaje haraka haraka.
 
mimi nilikuwa matatizo kama yako kiongozi ila kwa sasa nimeshayasahau baada aya kuona naweza kuuwa bure mna maisha haya bado matamu.
 

haina haja ya kukimbia mji wako
vp kuhusu wanao?kweli tafuta king'amuzi
ukirudi home akikuletea maudhi yake we angalia
watoto wako poa,jiendee nyumba ndogo!!stress free ebooo
atajibeba na ataanza kuhangaika wala usijali jifanye kama
huoni!!shame on her!!kwny miti hakuna wajenzi aisee!!
 
Mkuu ushaambiwa hana kazi muda mrefu na nyumba ndogo ni mashine ya kusaga pesa so ataongeza tatizo juu ya tatizo,nyumba ndogo bila mkwanja ni mateso
 
ENH!
si umuacheeeee
UNA WATOTO WANAOKUPENDA NA KUKUJALI SANA ASEE!
kuna vitu vingine havivumiliki!
mambo ya kuvumilia kubeba misumari ya moto nani anataka?
WAKATI MWINGINE INAHITAJIKA AKILI NYINGINE KUFANYA MAMBO MENGINE YAENDE SAWA!
believe me YOU!
 
mkuu wala usiondoke bwana watoto wako unamwachia huyo binti....... tafuta mwanamke wa kupunguzia stress alafu huyo mpotezeee kabisa atajituliza tu..........
 
Wadau nawaelewa sana. Ujue mpaka sasa akili imestack....sijui pa kwenda....sijui cha kufanya. Na roho ya mauti inaniwinda sana....bora nife...nyingine nenda hata Lindi ukaanze upya. Mara. ..we vumilia tu kidogo umuone ujinga wake.....kila jaribu lina mlango wake....kwamba soon nitapata ahuheni nitaondoka kuendelea na mambo yangu upya. Kama ni watoto ipo siku wakitaka kumjua baba yao watanitafuta.



Maskini watoto wanguuuuuu........Mungu waupushe na mabaya yote. Sikua na nia mbaya na huyu mwanamke. Kwa wema wote niliotenda mpaka kumtafutia kazi leo naonekana mburula.....ananidharau na kunijibu kunya??..NSSF nilimpa zaidi ya 80% ili afungulie biashara zake. Leo sina kazi ananiona mjinga kweli.........nipeni bastola wadau....nipeni tafadhali. Pls
 
Huu mwaka wa shetani;
Kila mtu na alinde sana moyo wake;
Wenye mioyo ya juu juu wazidishe maombi.
 
Wadau nashukuru sana kwa michango yenu. Nimepata faraja sana. Nawashukuru sana wapendwa.


Kingine nikwamba,..jambo likitokea hua mstari wa mbele kuwapigia simu wazazi....na kuweka chumvi nyingi sana. Hatimaye wazazi huniona mimi mbaya sana.....na kuanza kunishambulia....Hasa Mama yangu. Hii kwakweli inaniuma zaidi na zaidi. Kuona Mama yangu bila kusikiliza upande wangu anakuja juu. Na wazazi wake nao hawamshauri kitu chochote kitu ambacho anaona sahihi kwa anayofanya.




Mfano sasa ivi....mzazi wangu anataka aje kwenye familia yangu. Aniondoe hapa kwa lazima....nisije nikamuua mtoto wa watu koz matukio yamekua mengi na wanahisi naweza kumuua. Sielewi kwa kweli....



Nyie wanawake nawaheshimu sana aisee. Mi naona kabisa wanaowaua wapo sahihi. Nimekosa bastola tu hapa. Ila ningeua. Au naweza kuua kwa kumtoboa toboa na kisu tumboni. ...issue ikaja upande wangu ntajimalizaje haraka haraka.

Usifanye kitu kinachofanana na hicho. Wewe jitahidi kumdharau. Wapo waliokushauri ufanye hivyo, wasikilize. Ukifanya hivyo unavyofikiria hao watoto wenu mtakuwa mmewahukumu na wao wakati hawana makosa. Wewe ulishapata ujasiri wa kuoa mke pamoja na upinzani kutoka kwa ndugu zako pamoja na wazazi wako. Sasa hiyo ni shubiri unatakiwa uinywe. Jitahidi kuwa na maisha yako kabisa na usijihusishe naye - ikiwezekana ujiepushe kuonana naye. Yaani zama kwenye shughuli zako zaidi, hapo nyumbani gawaneni vyumba uwe unaingia muda ambao ameshalala au hajarudi. Unalala na kesho yake unaondoka bila kuonana naye. Ishi maisha ya kwako kabisa utapona. Ukijaribu kumtegemea huyo abadirike - umekwisha kwani hatabadirika. Huo kwangu ni uzoefu na ushuhuda. Ukishazoea baadaye utakuwa unamuona kama unavyomuona mke wa jirani yako - na ukifika hapo umeshinda changamoto.
 
jamani wanawake somtym cjui tunakuwa tumeingiliwa na mapepo maanaake km ni vituko hii ni noma.
yaani ht kukushauri u.uombe Mungu naona hapana, dawa ya wanawake ndogo sn we piga Kimyaaa usihangaike nae kwa chochota then kuwa na mwanamke mwingine then utaona reaction yake.atanyooka mwenyewe mpaka utashangaa,
dawa ya mwanamke mkorofi ni kumtafutia mgombea mwenza full stop!!
 
Back
Top Bottom