Nakimbia ndoa-Naogopa kuua

Nakimbia ndoa-Naogopa kuua

Pole sana kaka hapo ndoa haipo tena ikiwezekana chukua watoto wapeleke kwa bibi yao kisha achana nae uanze maisha upya
 
Dah very sory kaka angu!!chamsingi usingekimbia nyumba kwanza ungejaribu hata kusolve hii issue na watu wazima then kama ingeshndkana ingebidi mtafute jins ya kuachana! Kiukwel think twice kuhusu watoto wako kabla ya kufanya maamuzi haya magumu...!
 
ukimsomesha mwanake ni kujitengenezea bomu

I thought ukimsomesha mwanamke utakuwa umesomesha familia, kumbe ni kinyume chake siyo!
Usikimbie nyumba yako, wewe ndiye uliyemuoa siyo yeye aliyekuoa kama ni hivyo basi una mandate ya kumrudisha kwao kwa muda ili akufundishwe tabia njema na wazazi wake washuhudie ujinga anaoufanya then endelea na maisha yako. Ukibaki peke yako tafuta House Girl au hata ndugu yako ambaye ana uwezo wa kuangalia watoto wako ili mishemishe zako za kutafuta hela hapa mjini zisikwame. Nakuhakikishia less than a year huyo mwanamke atarudi kwako kukuomba msamaha na hapo ndiyo utahitaji kuweka vigezo na Masharti UPYA.
 
Ukimbie nyumba kwani unakaa kwake au kwako? huyo mwanamke ni mtovu wa kitabia hivyo usihangaike kufanya usuluhishi, kwani suala la mwanamke kuwa na wanaume nje ya ndoa sio ugomvi hadi utafute mtu wa kukusuluhisha, cha msingi kama unaishi nae ndani ya nyumba yako basi chukua hatua ya kumrudisha kwao mara moja, japo kuachana sio jambo jema, lakini kuna wakati inatulazimu tufanye hivyo, magonjwa mengi, cha msingi angalia ni jinsi gani watoto wako watakavyopata malezi bora, huyo mwanamke hafai ila hakikisha unajichunguza wewe mwenyewe ujue ni kwanini mwanamke anakufanyia hivyo, wakati mwingine wewe pia utakuwa unachangia au kusababisha mkeo akawa anakutendea kama ulivyosema.
 
Wana jf....mi nimeoa na nina watoto wa3. Huyu binti nilimtoa kwao nikawaahidi wazazi wake kua nitamsomesha mpaka elimu yeyote. Nikafanya hivyo mpaka sasa yupo na kazi. Ila kwa bahati mbaya mimi karibu mwaka sasa sina kazi ila pesa za kula hazinikosi.

Huyu binti wakati naenda kumtambulisha kwetu alinifanya nikosane na ndugu zangu wote. Lakin kwa kua nampenda nilisimamia show mpaka wakanielewa. Maisha yetu mimi na yeye yamekua ya magomvi sana kwa takriban miaka 7 sasa. Hakuna tulichofanya cha mafanikio mpaka muda huu.

Magomvi yetu mengi yamekua ni tabia za unafki,uzinzi,uongo,dharau,majibu mabaya ya kutia hasira na kutojali wala kumthamini mtu. Ni mzuri sana wa kuomba msamaha ambapo baada ya kuomba msamaha hurudia kitu kile kile alichofanya baada ya muda mfupi.

Sasa maisha yamebadilika sana....baada ya yeye kua na kibiashara ambacho kinamuingizia pesa licha ya anazopata kwenye mshahara. Unachomweleza hakusikii hata kidogo. Anajifanya yeye ndio yeye...misheni town...kugawa namba ovyo kwa wanamme...kua na namba tofautitofauti ambazo hata mimi sizijui ambazo huzitumia kuwasiliana na wanamme zake wa nje.

Kiukweli mpaka time hii....nimewahi kumfuma akicheat zaidi ya mara 7. Akiwasiliana na wanamme wapya au ma X zake. Ni mtu wa iringa. Anakiburi sana na dharau ya hali ya juu. Hajali kama tunawatoto au la.

Hutoa majibu ambayo hunifanya nipate hasira sana na ikafikia mahala nikampiga kama mara 3 ivi. Na jana ilikua mara ya nne. So nimefikiria sana na nimeona ngoja nikimbie mji nimwachie kila kitu niende ninakokujua.

Kwa hasira nilizokua nazo jana....nimemwambia...hata akisikia nimekufa...asije kuniona...wala mimi sitakuja kumuona. Koz kama ni kunipotezea muda kanipotezea muda mwingi sana na gharama nyingi sana. Lakin zaidi ya yote ni kuhusu watoto wangu ambao sikutaka kabisa waishi ktk malezi mabovu kwasababu yake.

Nawashauri wanawake wenye tabia hizi waache. Malipo ni hapa hapa. Mtu akikutoa ujinga usimdharau.

Pesa kitu gani bana kaka, nimesoma hii kwa makini nimejua kinachokuuma ni kumgharamikia sana, toka kumosmesha mpka ahapo halipo, look...hata kama umetumia billion 1, aina thamani kabisa zaidi ya maamuzuzi sahihii wakati HUU uliopo sasa na unakokwenda, kumbuka maisha yetu WOTE ni full of kutokutabirika, kila dakika moja mbele NI GIZA NENE kwa kila mwenye pumzi duniani.

Fanya maamuzi, ishi nae stopisha tendo la ndoa asije akakuletea balaa ikiwezekana wazee waeleze , jipange taratibu usikurupuke kuondokaa bila kujipanga usije ukawa chokoraa buree, uwe mjanja jipange kusanya fedha bila ya kumwonyesha unajipanga(kisiri), ikiwezeka uwe unapiga na ndomu akikuuuliza mwambie mimba. siku ashangae uyooo.
 
Heri na nyinyi muonje machungu tunayoyapata wanawake, maana hapo wanamlaumu mwanamke tuu bila kujua upande wa pili ulikuwaje wakati yeye ana kazi. " chongo kwa mnyamwezi kwa mzaramo bahati mbaya"
 
Ndugu yangu pole sana. To be specific huyo Mwanamke sio Mkinga kweli?..maana kuna mambo anayafanya kama mke wa jamaa yangu
 
Wangoni huwa hatutumii bastola , dawa ni kuongeza mdala nyingine tu. Ndio bastola anayotakiwa kutumia.
 
Wana jf....mi nimeoa na nina watoto wa3. Huyu binti nilimtoa kwao nikawaahidi wazazi wake kua nitamsomesha mpaka elimu yeyote. Nikafanya hivyo mpaka sasa yupo na kazi. Ila kwa bahati mbaya mimi karibu mwaka sasa sina kazi ila pesa za kula hazinikosi.

Huyu binti wakati naenda kumtambulisha kwetu alinifanya nikosane na ndugu zangu wote. Lakin kwa kua nampenda nilisimamia show mpaka wakanielewa. Maisha yetu mimi na yeye yamekua ya magomvi sana kwa takriban miaka 7 sasa. Hakuna tulichofanya cha mafanikio mpaka muda huu.

Magomvi yetu mengi yamekua ni tabia za unafki,uzinzi,uongo,dharau,majibu mabaya ya kutia hasira na kutojali wala kumthamini mtu. Ni mzuri sana wa kuomba msamaha ambapo baada ya kuomba msamaha hurudia kitu kile kile alichofanya baada ya muda mfupi.

Sasa maisha yamebadilika sana....baada ya yeye kua na kibiashara ambacho kinamuingizia pesa licha ya anazopata kwenye mshahara. Unachomweleza hakusikii hata kidogo. Anajifanya yeye ndio yeye...misheni town...kugawa namba ovyo kwa wanamme...kua na namba tofautitofauti ambazo hata mimi sizijui ambazo huzitumia kuwasiliana na wanamme zake wa nje.

Kiukweli mpaka time hii....nimewahi kumfuma akicheat zaidi ya mara 7. Akiwasiliana na wanamme wapya au ma X zake. Ni mtu wa iringa. Anakiburi sana na dharau ya hali ya juu. Hajali kama tunawatoto au la.

Hutoa majibu ambayo hunifanya nipate hasira sana na ikafikia mahala nikampiga kama mara 3 ivi. Na jana ilikua mara ya nne. So nimefikiria sana na nimeona ngoja nikimbie mji nimwachie kila kitu niende ninakokujua.

Kwa hasira nilizokua nazo jana....nimemwambia...hata akisikia nimekufa...asije kuniona...wala mimi sitakuja kumuona. Koz kama ni kunipotezea muda kanipotezea muda mwingi sana na gharama nyingi sana. Lakin zaidi ya yote ni kuhusu watoto wangu ambao sikutaka kabisa waishi ktk malezi mabovu kwasababu yake.

Nawashauri wanawake wenye tabia hizi waache. Malipo ni hapa hapa. Mtu akikutoa ujinga usimdharau.

Mimi wa kwangu alikuwa sawa na wa kwako kwa asilimia 80. Mimi nikatoka na kupanga karibu tu na nyumbani na kuona mke mwingine, hivi sasa akiniona anatembea na magoti kuniomba msamaa.
Mimi ilifikia wakati nilitaka kummaliza nikanyongwe lakini niliwafikiria watoto wangu 3 . Nikaamua kutumia njia hiyo.
 
Duh! Pole sana amini kila jaribu lina mlango wa kutokea, usikurupuke kuondoka sasa hivi kama bado hujajua pa kwenda, vumilia hamia chumba kingine wakati unajipanga
 
Pole sana mkuu abbas Hassan, wakati wa kuoa waswahili walisema bora ukosee kitu kingine lakini sio kuoa.
Kwa maelezo yako inaonekana hapo nyumbani kwenu walionyesha kumkataa huyo mkeo bila shaka kuna baadhi ya vitabia flani waliviona ambavyo leo wewe ndio unakuwa muhanga wa tabia zile. Hapa naandika nimeguswa sana kumsomesha na kumfanya awe na kazi isiwe sababu ya wewe kunyanyaswa, kazi na mali kitu gani kwa mwanaume wa kweli? Nafsi na roho ndio hasara kama mali zinztafutwa na nakuhakikishia mlango mwingine utafunguliwa maadamu uwe umetenda haki, Mungu hawezi kukuacha uteseke.
Fanya maamuzi magumu hayo hayo uliyochukua ila nakushauri usiende mbali na hapo kwasababu ukienda mbali utaenda kuanza upya kila kitu, kama ulivyosema kuwa hapo hela ya kula haisumbui komaa na jiji. Nawaonea sana huruma watoto hao , Vipi mama yao umesema ana kipato cha uhakika lakini mapenzi ya dhati kwa watoto wake anayo? kama hana tatizo na watoto wenu jiweke pembeni tulia utampata wa kufanana nae kama bado utahitaji mke wa maisha yako mapya, na ndio faida ya kumwezesha mkeo mkorofi kielimu ni wanawake wachache ambao huwa telekeza watoto waliowazaa wenyewe naamini watoto hawatateseka kihivyo.
Tafadhali usiwatupe hao malaika hawana kosa lolote jitahidi japokuwa hawatapata mapenzi yako 100% lakini japo kuwatembelea unapopata nafasi. Enyi wanawake wa dot com waheshimuni na kuwatii waume zenu ili nao wawapende.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom