Nakimbia ndoa-Naogopa kuua

Nakimbia ndoa-Naogopa kuua

Wadau nawaelewa sana. Ujue mpaka sasa akili imestack....sijui pa kwenda....sijui cha kufanya. Na roho ya mauti inaniwinda sana....bora nife...nyingine nenda hata Lindi ukaanze upya. Mara. ..we vumilia tu kidogo umuone ujinga wake.....kila jaribu lina mlango wake....kwamba soon nitapata ahuheni nitaondoka kuendelea na mambo yangu upya. Kama ni watoto ipo siku wakitaka kumjua baba yao watanitafuta.

Maskini watoto wanguuuuuu........Mungu waupushe na mabaya yote. Sikua na nia mbaya na huyu mwanamke. Kwa wema wote niliotenda mpaka kumtafutia kazi leo naonekana mburula.....ananidharau na kunijibu kunya??..NSSF nilimpa zaidi ya 80% ili afungulie biashara zake. Leo sina kazi ananiona mjinga kweli.........nipeni bastola wadau....nipeni tafadhali. Pls

Inahitaji ujasiri wa hali ya juu kuyashinda haya. Inaonekana wewe ni jasiri sababu ulioa bila kusikiliza ushauri wa ndugu. Mie nilifanya hivyo hivyo na yalinikuta kama yalivyokukuta wewe. Ila sasa hivi nimeshinda, simuhitaji tena kwa lolote. Ila siri ni lazima mtengane nyumba au vyumba. Mie sababu ya watoto nilitengana naye vyumba tunaendela kuchangia nyumba. Sasa hivi hata nimuone live na mwanaume mwingine sijisikii chochote, yaani sina emotion tena. Yeye ndo baadhi ya siku hunichokoza kwa visa vya kijinga jinga, ila namkacha tu kiaina. Hata watoto hawajastukia sana ila wanajua tunaishi vyumba tofauti. Ila mie vile vile naamini kuhama nyumba ni bora. Ila kwa changamoto za kiuchumi ulizo nazo kuhama nyumba inaweza kuwa ngumu kwako. Ila kama una mahala pengine pa kwenda, kuhama nyumba ni bora kuliko hayo unayoyafikiria. Kwa wanawake wanaume tunapoteza vingi. Hiyo mikwanja na misaada uliyompa we sahau. songa mbele!
 
Kwnza Ww nijasiri umfumanie mara 7 naumevumilia pole umeumia sana , usichukue maamuzi magumu yatakayotesa watoto wko usiondoke utampa kichwa jibu la mjinga nikimya kupiga muache kwn toka umempiga hajajirekebisha huyo nimshenzi na limbukeni , muonyeshe shoo kwanza pigana upate kazi hukuukiwa unapigana juu ya kazi ,tafuta dem asie na shida akuliwaze kua na dem mtaani nikujidhalilisha na kuwapa watu faida ,pole sana mkaka .
 
Umeambiwa na nani ulete historia ya abbas-hassan hapa, kama unamjua kihivyo siumpe ushauri afanye nini, kuanza kusema mwenzio mara aliachishwa kazi, ana kisukari ni nini? mbona mwenyewe hajasema hayo?

abbas-hassan yaani ulivyoongea tu hapo, ninakufahamu, ulimsomesha chuo kikuu, unakaa jetrumo dsm, yeye anafanya kazi afisa mambo ya elimu, anasafiri sana mikoani, wewe ulikuwa unafanya kazi zamani katika ubalozi fulani hivi hapa dsm, uliachishwa kazi, na una kisukari, dada ana hela za kutosha tu na mmejenga nyumba yenu nzuri sana huko jet. yeye mtu wa iringa, wewe ni mngoni. hadi nakuonea huruma.

kumfumania mwanamke mara 7 yahitaji ujasiri. mwombe Mungu usiingie majaribuni ukaja kujutia maisha yako yaliyobaki, usichukue uamuzi mbaya kwani utakugarimu.
 
Last edited by a moderator:
Dah! Hadi nimetoa machozi, pole sana jamani, kweli hujafa hujaumbika lol!

Wadau nawaelewa sana. Ujue mpaka sasa akili imestack....sijui pa kwenda....sijui cha kufanya. Na roho ya mauti inaniwinda sana....bora nife...nyingine nenda hata Lindi ukaanze upya. Mara. ..we vumilia tu kidogo umuone ujinga wake.....kila jaribu lina mlango wake....kwamba soon nitapata ahuheni nitaondoka kuendelea na mambo yangu upya. Kama ni watoto ipo siku wakitaka kumjua baba yao watanitafuta.

Maskini watoto wanguuuuuu........Mungu waupushe na mabaya yote. Sikua na nia mbaya na huyu mwanamke. Kwa wema wote niliotenda mpaka kumtafutia kazi leo naonekana mburula.....ananidharau na kunijibu kunya??..NSSF nilimpa zaidi ya 80% ili afungulie biashara zake. Leo sina kazi ananiona mjinga kweli.........nipeni bastola wadau....nipeni tafadhali. Pls
 
abbas-hassan yaani ulivyoongea tu hapo, ninakufahamu, ulimsomesha chuo kikuu, unakaa jetrumo dsm, yeye anafanya kazi afisa mambo ya elimu, anasafiri sana mikoani, wewe ulikuwa unafanya kazi zamani katika ubalozi fulani hivi hapa dsm, uliachishwa kazi, na una kisukari, dada ana hela za kutosha tu na mmejenga nyumba yenu nzuri sana huko jet. yeye mtu wa iringa, wewe ni mngoni. hadi nakuonea huruma.

kumfumania mwanamke mara 7 yahitaji ujasiri. mwombe Mungu usiingie majaribuni ukaja kujutia maisha yako yaliyobaki, usichukue uamuzi mbaya kwani utakugarimu.

sasa kakutuma umuanike? kama unamjua sana si ungempm muongee zaidi? au wewe ni mmmoja wa waume wenzie? ulichikifanya sijakipenda kabisa yy kaomba ushauri hakusema anayemjua amnadi humu.
 
Last edited by a moderator:
Yaani huyu hute ni mjinga na --------, nadhani ni mmoja wa wanaume wanaomtia mke wa jamaa

sasa kakutuma umuanike? kama unamjua sana si ungempm muongee zaidi? au wewe ni mmmoja wa waume wenzie? ulichikifanya sijakipenda kabisa yy kaomba ushauri hakusema anayemjua amnadi humu.
 
kwanin ndoa nying (sio zote) ndugu walizotia mdomo huwa znakuja kuwa mbaya.......? Usiachane na mkeo, tengana nae. Mpe muda na jipe muda wa kujitathmini.
 
pole sana mkuu kisa kama cha kwangu!pole sana maadam unawatoto mwache aangaike mpaka akichoka atatulia mwenyewe,sasa hivi jihadhari naye tumia kondomu,maana naona dalili za ukimwi zipo nje nje
 
inasikitisha,sijui hata kwa nini nimefungua huu uzi,nimetoka jukwaa la siasa na stress ila kwa huu uzi ni zaidi ya stress,
pole sana,jikite sana katika kumwomba Mungu kipindi hiki kigumu cha mapito na majaribu,naye atakuonyesha njia iliyo sahihi
 
Kuhusu wazazi nimeshawaambia. Wote wanajua. Na wakati naanza kumsomesha ilikua akiwa A level mpaka chuo. Na alivyoanza kazi...nikachukua vitu vyangu vyote vya ndani nikampa akaanzie maisha. Mi nikaanza upya na baadae nikajumlisha na vya awali ili tuwe wote karibu na familia. Hapo ndipo nilipoanza kuona matimbwili na visa vyake. Ni ngumu kusimulia yote. Ila hakuna kitu kibaya kama mtu kukufanyia unyama huku ukiwa kwenye hali mbaya. It pains alot.
 
pole sana mkuu kisa kama cha kwangu!pole sana maadam unawatoto mwache aangaike mpaka akichoka atatulia mwenyewe,sasa hivi jihadhari naye tumia kondomu,maana naona dalili za ukimwi zipo nje nje
kondom ya kazi gani tena,kuna maana gani ya kufanya mapenzi na mke tena si hawara usiyemwamini anayekusaliti.si bora tu kuishi kama padri?
 
Kuhusu wazazi nimeshawaambia. Wote wanajua. Na wakati naanza kumsomesha ilikua akiwa A level mpaka chuo. Na alivyoanza kazi...nikachukua vitu vyangu vyote vya ndani nikampa akaanzie maisha. Mi nikaanza upya na baadae nikajumlisha na vya awali ili tuwe wote karibu na familia. Hapo ndipo nilipoanza kuona matimbwili na visa vyake. Ni ngumu kusimulia yote. Ila hakuna kitu kibaya kama mtu kukufanyia unyama huku ukiwa kwenye hali mbaya. It pains alot.
pole kama nakuona unavyoumia,worry not God will make a way. amini hakuna gumu lisilo na njia,kuna waliyopitia magumu kuliko haya ngoja nikupe kisa cha kweliu

kuna jamaa alikuwa mhasibu chuo flani, mkoa flani hivi, alipiga hela nyingi sanaaa, acount yake ilikuwa na milion mia mbili hivi,mkewe aliamua kwenda kumsomesha chuo flan kipo dar,sitkitaja, kumbe huyu mke alikuwa akitembea na rafiki wa huyu jamaa ambye ni mhasibu. bahati mbaya jamaa kazini alipata matatizo,ikatokea uchunguzi ulifanyika,jamaa akaamua kuhamishia fedha zake zote kqwenye account ya mkewe, mkewe akachukua zili hela akaanza kupanga mipango na hawara yake,hawara akamdadisi kuna kiasi gani cha fedha,demu akamtajia,wakapanga wafanye biashara ya dalaldala route ya kwenda posta mwenge, hawara akamkoleza mke wa mtu mpaka akawa anampa kadi ya benk kwenda kuchota fedha,jamaa mwanzoni alijifanya mwaminifu, ilipofikia hatua ya kununua gari aina ya coster mbili walizokubaliana wazinunue kwa ajili ya biashara,kwa kuwa mke wa huyu jamaa alikuwa anasoma chuo mambo yote alishughulikia hicho kidumu chake, akampa kadi akachukue fedha benk kwa ajili ya kwenda kufanya malipo,jamaa hakwenda kufanya malipo akaenda akachota mkwanja wooote kwenye ac ya yule mke wa mtu, jioni jamaa akapanga wakutane hotelini,hoteli moja iko barabara ya shekilango maarufu sana, jamaa akakodi chumba cha kulalaa maana ilikuwa weekend, wakala bata, usiku jamaa akamuuwa mke wa mshikaji halafu akaseapa. huku mume mwenye mke akiwa amesimamishwa kazi na baadae kufukuzwa kazi, kwenda kwenye ac ya mkewe kucheki fedha alizokuwa amemhamishia hakukuta hata senti tano, ikawa amepoteza kazi,amepoteza mke na fedha, tena si kupoteza kazi tu kazi na utumishi,yaani vyeti vyake vimechafuliwa.
 
Inahitaji ujasiri wa hali ya juu kuyashinda haya. Inaonekana wewe ni jasiri sababu ulioa bila kusikiliza ushauri wa ndugu. Mie nilifanya hivyo hivyo na yalinikuta kama yalivyokukuta wewe. Ila sasa hivi nimeshinda, simuhitaji tena kwa lolote. Ila siri ni lazima mtengane nyumba au vyumba. Mie sababu ya watoto nilitengana naye vyumba tunaendela kuchangia nyumba. Sasa hivi hata nimuone live na mwanaume mwingine sijisikii chochote, yaani sina emotion tena. Yeye ndo baadhi ya siku hunichokoza kwa visa vya kijinga jinga, ila namkacha tu kiaina. Hata watoto hawajastukia sana ila wanajua tunaishi vyumba tofauti. Ila mie vile vile naamini kuhama nyumba ni bora. Ila kwa changamoto za kiuchumi ulizo nazo kuhama nyumba inaweza kuwa ngumu kwako. Ila kama una mahala pengine pa kwenda, kuhama nyumba ni bora kuliko hayo unayoyafikiria. Kwa wanawake wanaume tunapoteza vingi. Hiyo mikwanja na misaada uliyompa we sahau. songa mbele!
ila one thing to note, ndungu wakikataa jambo ukalifanya,kama kuna kachembe ka nguvu cha giza katika hiyo familia,au roho ya ushirikina wanaweza kuamua kufanya lolote ilimradi tyu ujutie kwa nini hukuwasikiliza,ndipo unpoona watu wanafanya mabo ya ajabu kwenye ndoa,lakini inakuwa sio matakwa yao ila kuna nguvu flani nyuma yao. ndio maana inashauriwa ukishaowa kitu kikubwa sana kwa dunia ya sasa ni kumtumikia Mungu wewe na familia yako ili awaepushe na zahma za ndoa,maana shetani amefanya ndio sehemu ya kupigia wanadamu
 
Mapenzi ni kama shilingi hiyo imeangukia pasipoangukia.na mwanamke akifika stage hiyo ni kumwacha tu utapiga bastola kama antheri na minisi.pole yako lea wana mkuu
 
Akiwa naye karibu ndio atampa maudhi zaidi kitakachofuatia hapa mtasikia mtu kashamlamba risasi,sio rahisi kukaa na mtu ambaye ni mpenzi wako nyumba moja na unajua anafanya uchafu huko nje.Naongea nina experience yalishanikuta,nilitaka kuua.kibaridi@hotmail.com

akishakua na mtu mwingine
maudhi ya mke wala hayatomkera
akae kwa ajili ya watoto,kama tabia
za mama ndio hizo baba akiondoka hao
watoto watalelewa ktk malezi gani?

abbas-hassan yaani ulivyoongea tu hapo, ninakufahamu, ulimsomesha chuo kikuu, unakaa jetrumo dsm, yeye anafanya kazi afisa mambo ya elimu, anasafiri sana mikoani, wewe ulikuwa unafanya kazi zamani katika ubalozi fulani hivi hapa dsm, uliachishwa kazi, na una kisukari, dada ana hela za kutosha tu na mmejenga nyumba yenu nzuri sana huko jet. yeye mtu wa iringa, wewe ni mngoni. hadi nakuonea huruma.

kumfumania mwanamke mara 7 yahitaji ujasiri. mwombe Mungu usiingie majaribuni ukaja kujutia maisha yako yaliyobaki, usichukue uamuzi mbaya kwani utakugarimu.
Hii haikuwa na umuhimu wowote!!! Watu wengine bwana, huyo mhusika amekwambia anahitaji msaada wa kumuanika humu??!!!
 
Duh..hadi nimejiskia vibaya,mbona watu wanakosa utu?kisa anapesa ndio amekuona huna thamani?kweli binadamu hawaaminiki,hajali kwamba mna watoto,ni mbinafsi hana mapenzi na wewe.....duh pole sana kaka life is too short ohhh(in naija's voice).well tafuta mke wa pili akili imkae sawa.she doesnt deserve u a bit.
Trust no woman but your mother!
 
Back
Top Bottom