Ee watoto ndo point muhimuUkitoka kazini pitia bar piga supu Yako heavy na soda/bia ya baridi nunua vizaga peleke home relax kama umezaa nae pambana for your kids
Hawa anytime wanabadilika
#Watotowangufurahayangu
Ndio na huyu yupo kundi hilo la ke ziso jishughulisha na cm kabisa.uko bitter sana kiongozi.
mimi nina shemeji zangu nawafaham,sio watu wa simu simu kabisa,hata washkaji huwa wanawalaumu anaweza acha simu ndani akaenda kupiga story mtaa wa tatu huko,ukapiga simu ikaita weeeeeee.fikiria mtu wa aina hii kama atakumbuka kukutumia sms.
ukiikagua simu unakuta ilichezewa na watoto tu.
kuna wenzako baada ya kazi nzito wanakutana na sms kama,nina shida na elfu 20 ya mchezo,toka subuhi kata hujanipigia,najua uko na malaya zako,ukirudi uniambie amina ndio nani.
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
NakaziaWeew. Ni mijnga Sana acha mambo ya kike tulia siyo mambo kila .saa mnapigiana hilarious sababu
Yupo kwa ajili ya kugongwa sio kwa ajili ya kutumia meseji, we rudi nyumbani nenda kapotezee machungu mgonge inavyotakiwaYaani ile unahustle kiume, mchana kutwa jasho linakutiririka, mwanaume wa shoka unapambana na kazi ngumu ambayo inaweza hata kukuibulia vichomi vya mbavu, mgongo hata kiuno.
Yote hayo unajikaza maana kuna watu nyuma wanakutegemea.
Inafika mda wa kusign out, unaiendea simu yako kwa pupa huku ukijiambia nitakuta missed calls lundo na sms ya kumwaga kutoka kwa wife, Dah! unakuta cm inakuita tu wala hakuna cha sms wala chochote kutoka kwa wife ambae unapambana kwa ajili yake, unaishiwa nguvu na unaona umefanya kazi bure.
unamtumia sms eti na mimi najihesabia nina mke, dah!
Ndoa sitaki tena, utapeli huu.